thinky
JF-Expert Member
- Jan 13, 2014
- 2,121
- 264
utupu ukoje?chanzo cha utupu?utupu utatoaje kitu?
jibu moja baada ya jingine ukishindwa mungu yupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utupu ukoje?chanzo cha utupu?utupu utatoaje kitu?
Hivi kwa akili yako yakawaida unadhani yakwamba mwanzoni kulikuwa na nini ? .AMINI AMIN NINAKWAMBIA HAKUNA SEHEMU YOYOTE ULIMWENGUNI AMBAYO HAINA JOTO AU BARIDI lazima tu sehemu yoyote iwepo mojawapo ya nishati hizo na huwa nishati hizo hazionekani bali huwa tunaona madhari yake.Kwa hiyo NI SHATI YA JOTO au BARIDI ni nishati pekee isiyo umbwa ambayo LAZIMA TU ITAKUWEPO .Kwa mantiki hiyo lazima tufuhamu ya kwamba ZILIKUWEPO ni shati zisizo umbwa ambazo kwa namna yoyote ile lazima ziwepo tunajua kabisa NISHATI HUWA HAIONEKANI BALI TUNAONA MATOKEO YA NISHATI.Kwa hiyo mwanzoni kulikuwa na hali ya ukiwa tena utupu lakini kulikuwa na nguvu fulani zisizo umbwa ambazo lazima tu ziwepo kama nilivyo toa mfano wa joto au baridi.NINAENDELEA KUSEMA.
Ndani ya huo ukiwa na utupu kulikuweko na nishati nyingi sana .Maana kunanishati nyingine ni lazima tu ziwepo HEBU JIULIZE KUNASEHEMU YOYOTE HUMU AMBAYO HAINA JOTO AU BARIDI Ni wazi kwamba sehemu yoyote kama haina joto basi itakuwa na baridi .Kwa mantiki hiyo mwanzoni kulikuwa hakuna kitu yabisi chochote lakini kulikuwa na NISHATI AMBAZO NI LAZIMA TU ZIWEPO .
jibu moja baada ya jingine ukishindwa mungu yupo
Ndiyo Mungu yupo lakini tujaribu kutazama swala hili kisayansi zaidi .Maana kuna namna mbili za kutizama mambo kiroho na kisayansi.
jibu moja baada ya jingine ukishindwa mungu yupo
Ndiyo Mungu yupo lakini tujaribu kutazama swala hili kisayansi zaidi .Maana kuna namna mbili za kutizama mambo kiroho na kisayansi.
Ndiyo maana hata katika biblia katika kitabu cha mwanzo kunasehemu wameandika HAPO MWANZO MUNGU ALIUMBA MBINGU NA NCHI NAYO NCHI ILIKUWA KATIKA HALI YA UKIWA NA UTUPU .Je Umeona Dhana Ya Ukiwa Na Utupu Ilipotokea .Mimi nachojua .Siku zote SAYANSI YA KWELI hufananafanana na baadhi ya mafundisho ya dini juu ya chanzo cha ulimwengu.
Akili ya binadam kweli ? Hayo matope aliyoyafinyanga nani aliyatengeneza. Sometime kuna wadudu wana ufahamu kuliko binadam...
Sikiliza wewe hakuna sehemu yoyote duniani ambayo haina nishati ya BARIDI au JOTO kwa hiyo lazima mwanzoni kabisa kabla ya kuwepo chochote kulikuwa na NISHATI ambayo kwa namna yoyote ile lazima iwepo.Au na hapa bado unakataa
God created all things out of nothing while scientists rely on things created from something!
Huyu jamaa alivodescribe big bang theory yani ovyo kabisa... Em somea uandishi basi kidogo ujue jinsi ya kujiexpress..
Umeona eh. Yaani nikawa najiuliza mbona hamna connection na points zinazojenga hoja? Eti oh utupu, utupu kivipi? Nishati gani na je hiyo combination na reactions za hiyo nishati zimestop au hazipo tena hizo nishati? Na kama zipo je reaction yake haiumbi tena viumbe? Lots of questions to ask mleta mada.
mleta mada atuambie utupu ukoje afu tuanzie hapo
kakimbia
Mleta mada namuunga mkono
Mleta mada namuunga mkono