SAYANSIKIMU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2014
- 1,132
- 260
- Thread starter
- #21
Hivi kwa akili yako yakawaida unadhani yakwamba mwanzoni kulikuwa na nini ? .AMINI AMIN NINAKWAMBIA HAKUNA SEHEMU YOYOTE ULIMWENGUNI AMBAYO HAINA JOTO AU BARIDI lazima tu sehemu yoyote iwepo mojawapo ya nishati hizo na huwa nishati hizo hazionekani bali huwa tunaona madhari yake.Kwa hiyo NI SHATI YA JOTO au BARIDI ni nishati pekee isiyo umbwa ambayo LAZIMA TU ITAKUWEPO .Kwa mantiki hiyo lazima tufuhamu ya kwamba ZILIKUWEPO ni shati zisizo umbwa ambazo kwa namna yoyote ile lazima ziwepo tunajua kabisa NISHATI HUWA HAIONEKANI BALI TUNAONA MATOKEO YA NISHATI.Kwa hiyo mwanzoni kulikuwa na hali ya ukiwa tena utupu lakini kulikuwa na nguvu fulani zisizo umbwa ambazo lazima tu ziwepo kama nilivyo toa mfano wa joto au baridi.NINAENDELEA KUSEMA.
Tunajua kabisa Combination ya nishati mbalimbali inapotokea kitu fulani hufanyika kwa sababu muda upo katika mabadiliko hivyohivyo combination ya nishatihizi zilikuwa katika mabadiliko jambolililo pelekea uongezekaji wa nishati nyingine
