Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
- Thread starter
- #41
Hii sidhani, kwasababu studies kibao zimepredict Neanderthals wameanza kuwepo miaka 700,000 iliyopita lakini Homo sapiens wameanza kuonekana Africa miaka 300,000 iliyopita....mfupa oldest wa Neanderthal uliopatikana umekuwa dated to be 430,000 years old. So inaonekana Neanderthals walianza kuondoka Africa kabla yetu sisi.Kuna hii wanasema kwamba common ancestor alikua afrika kisha baadhi ya homo sapiens walipohama na kwenda mabara mengine wakaanza kuevolve ili kuadapt na mazingira ya kule. Sasa wale homo sapiens waliobaki huku afrika hawakuevolve au walievolve kdg sana kwasababu walikua fit na mazingira waliopo. Homo sapiens waliobak afrika wakaanza kusambaa tena duniani na ndipo wakakutana na wale homo wengine ambao walievolve kua Neanderthals etc... ndio wakaanza kujaamiana nao na mwisho wa siku wakapotezwa. Bado haiko clear nn kiliwaondoa lakin tunafkiri ni competition ya resources. Ndiomaana mpaka leo waafrika hatuna DNA za homo neanderthalensis ila wazungu wengi wanazo
Sent using Jamii Forums mobile app