Nilisoma mahali kuwa Tanga ilimaanisha bahari na nyika nchi kavu kubwa nyuma ya bahari I.e. hinterland. Kwa hiyo Tanganyika ilimaanisha nchi yenye bahari kubwa na Ardhi kubwa nyuma yake .
Bora Tungeitwa Victoria ama Kilimanjaro... haya majina yana Mvuto flani wa fikra za kimaendeleo.... tanganyika limekaa.. yaani..dah.. yaani haielezeki.