Chanzo halisi cha jina Tanganyika

Chanzo halisi cha jina Tanganyika

Nilisoma mahali kuwa Tanga ilimaanisha bahari na nyika nchi kavu kubwa nyuma ya bahari I.e. hinterland. Kwa hiyo Tanganyika ilimaanisha nchi yenye bahari kubwa na Ardhi kubwa nyuma yake .
 
Back
Top Bottom