Chanzo halisi cha jina Tanganyika

Chanzo halisi cha jina Tanganyika

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
Kabla ya Mwaka 1920 Hakukuweko na nchi ikiitwa Tanganyika Kwa kuwa chini ya utawala wa Kijerumani Tanzania Bara iliitwa Deustche Ost-Afrika, ilikuwa lazima Waingereza kutafuta jina lingine mara baada ya kushika utawala.

Awali katika mwaka 1920, yalipendekezwa majina kadhaa, yakiwemo, “Smutsland”, “Ebumea”, “New Maryland”, “Windsorland”, na “Victoria”, ambayo hata hivyo yalikataliwa yote na Serikali ya Uingereza kutokana na sababu mbalimbali.

Baadaye serikali ya Uingereza ilielekeza yapendekezwe majina ya kienyeji, ndipo yakajitokeza majina “Kilimanjaro” na “Tabora”, ambayo yalifikiriwa lakini hayakuchaguliwa.

Hatimaye jina “Tanganyika Protectorate” lilipendekezwa na msaidizi wa Makoloni na likakubaliwa na Serikali. Inafahamika kwamba, kabla ya ujio wa wageni kutoka Ulaya, wenyeji katika maeneo ya Magharibi mwa nchi waliliita ziwa kubwa lililopo eneo hilo “Ziwa Tanganyika”. Inaelekea hiyo ndiyo sababu kubwa iliyofanya maofisa wa serikali kulikubali jina la Tanganyika kwa sababu lilikidhi matakwa ya sera kwa kuwa lilitokana na majina ya kienyeji.

Hatimaye neno “Protectorate” liliondolewa kutoka jina rasmi la ‘Tanganyika Protectorate’, na badala yake likawekwa neno “Territory”.

Kwa hiyo, kuanzia mwaka 1920 hadi uhuru nchi ikajulikana kama “Tanganyika Territory”

Credit: Historia Ya Afrika

12924452_1001841063237647_4802048944254893275_n.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umjitahidi

Nakupa mark 4/10

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha,

4/10 hata nusu sijafikisha.

Ukitoa maksi hizo tuoneshe na jibu kamili lenye maksi 10/10 basi.

Kuna sehemu wanasema "Tanganyika" ni muungano wa maneno mawili.

Tanga = tangulia, ya kutangulia, ya kwanza
Nyika = Nchi

Tanganyika = Nchi ya kwanza
 
[emoji23][emoji23][emoji23]usibishane na mwalimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Deustche Ost-Afrika
Si kweli kwamba kabla ya 1920 Tanganyika ilikuwa ikiitwa
Kabla ya Mwaka 1920 Hakukuweko na nchi ikiitwa Tanganyika Kwa kuwa chini ya utawala wa Kijerumani Tanzania Bara iliitwa Deustche Ost-Afrika, ilikuwa lazima Waingereza kutafuta jina lingine mara baada ya kushika utawala.

Awali katika mwaka 1920, yalipendekezwa majina kadhaa, yakiwemo, “Smutsland”, “Ebumea”, “New Maryland”, “Windsorland”, na “Victoria”, ambayo hata hivyo yalikataliwa yote na Serikali ya Uingereza kutokana na sababu mbalimbali.

Baadaye serikali ya Uingereza ilielekeza yapendekezwe majina ya kienyeji, ndipo yakajitokeza majina “Kilimanjaro” na “Tabora”, ambayo yalifikiriwa lakini hayakuchaguliwa.

Hatimaye jina “Tanganyika Protectorate” lilipendekezwa na msaidizi wa Makoloni na likakubaliwa na Serikali. Inafahamika kwamba, kabla ya ujio wa wageni kutoka Ulaya, wenyeji katika maeneo ya Magharibi mwa nchi waliliita ziwa kubwa lililopo eneo hilo “Ziwa Tanganyika”. Inaelekea hiyo ndiyo sababu kubwa iliyofanya maofisa wa serikali kulikubali jina la Tanganyika kwa sababu lilikidhi matakwa ya sera kwa kuwa lilitokana na majina ya kienyeji.

Halimaye neno “Protectorate” liliondolewa kutoka jina rasmi la ‘Tanganyika Protectorate’, na badala yake likawekwa neno “Territory”.

Credit: Historia Ya AfrikaView attachment 1470806

Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli kwamba Tanganyika ilikuwa ikiitwa Deustche Ost-Afrika kabla ya 1920. Jina la Deustche Ost-Afrika lilikuwa likitumiwa na Wajeremani kwa nchi tatu za sasa, yaani Tanganyika, Rwanda na Burundi, ambazo zilikuwa zikitawaliwa na Mjeremani. Baada ya kushindwa katika Vita Kuu ya Kwanza, Mjeremani akanyang'anywa makoloni yake. Muingereza akapewa Tanganyika na Mbelgiji akapewa Rwanda na Burundi.
View attachment 1470806
 
Nashua za wakati ule zilipelekwa na upepo, kiambaa kilifungwa ili kudhibiti upepo wa kutosha kusukuma Nashua. Vitambaa hivi viliitwa Tanga.

inawezekana Tanga la mashua liliokotwa kwenye nyika kupelekea neno Tanganyika
[emoji23][emoji23][emoji23]you are lie.

Kitaeleweka tu siku ya NECTA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom