Chanzo halisi cha mbwa (Origin of dogs)

Aurochs wa mwisho aliuwawa poland mkuu na sio iran.
 
Elimu, hii nzuri sana! Please tu Nakuomba angalau uwe unatoa mada kama Hizi mara mbili kwa wiki! Utakuja kufungua tuition online siku moja!
 
Sasa hawa mbwa aina ya Basenji walitokea wapi? Maana kwenye michoro ya Irangi Kondoa wapo
Yes, Basenji ni mbwa zamani sana, hata inawezekana ndiyo mbwa breed ya zamani kuliko mbwa wote waliopo duniani sasaivi.
Lakini haimaanishi Basenji ndiye mbwa wa kwanza kuwepo duniani.
Mbwa aina ya Basenji ni wa juzi tu, almost Miaka 8000 iliyopita, na yes walianzia kuwepo Africa.

Lakini ukumbuke mbwa wameanza kuwepo duniani huko Asia miaka karibia 30,000 iliyopita.
Kwahyo kulikuwa na Breed ambazo sio Basenji zilizoanzia Asia na Ulaya, na watu walizifuga. Ukumbuke pia kipindi kile (mpaka leo) binadamu wanamove sana from place to place, continent to continet...Kipindi cha kuanzia miaka 30,000 mpaka 8000 walisafiri kutoka Asia nakufika Africa wakiwa na mbwa wao, vivo hivo jamii za kiafrica (Kuanzia North Africa kama Egypt iliyoungana na Asia) zilipochangamana na za Asia, zikaiga na zikaanza kufuga hao mbwa na mwishowe ikafika Mpaka DRC ambapo breed ya Basenji ilipoanzia.

Kwahyo hiyo michoro Huko kondoa ni ya Less than 8000 years Ago, ambapo Basenji alievolve hapa East Africa.
Before walifika mbwa ambao ni Basenji-like (yaani breed ambayo ni baba ao basenji) lakini hao baba zao walikufa na kwenda extint.
Breed nyingi za mbwa duniani hazina zaidi ya miaka 400 iliyopita.

Basenji-like dogs in Egyptian drawings
This can be proven by genetic evidence ambapo Basenji ana DNA inayofanana na Dingo wa Australia kuliko inavyoendana na Fisi wa East Africa.
So it means, Origin ya mbwa wote ni Asia ila walisplit kwa muda, Wengine wakaja kuwa Basenjis in Africa, wengine dingos in Australia.
 
Elimu, hii nzuri sana! Please tu Nakuomba angalau uwe unatoa mada kama Hizi mara mbili kwa wiki! Utakuja kufungua tuition online siku moja!
Hahah niko na ratiba busy sana, ngumu kureply quotes humu, sembuse kuanzisha mada mbili kwa wiki.
 
Ulaya walifuata Nini? Je walisafiri kwa miaka mia ngapi?
 
Je hawa miacids walitokea wapi?
 
Mtoa mada anaupiga mwingi,
Shusheni nondo,nazd kusoma comments [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…