Kuna baadhi ya wanawake walivyo mkiwa uchumbani ni kama wanajitesa ili waolewe, maisha wanayoishi sio yao, maisha yao utayajua ukiwaoa
Akishaolewa wala hajitunzi hasa linapokuja suala la unene, atajiachia afyatuke kama puto
Mambo ya usafi ni shagala bagala mkiwa nyumbani kwa kisingizio kajifungua
Kila kitu utachomwambia kwenye majukumu yake ataingiza hoja za usawa, kutaka kuonekana sio wa kupelekeshwa
Eventually unamuona mtu uliye nae kwenye ndoa na uliekutana nae ni vitu viwili tofauti, hapo ndio wengi huchepuka