The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Great Thinkers.
1..Somemi mpaka.Phd
2. Salini saa 24.hrs
3. Andaeni.michakato sana.
4.Tengenezi.dira hata za miaka 100.
5.Badilisheni.viongozi.muwezavyo.
Yote hayo ni bure kama hatutaacha kuwa wabinafsi na ndo kitu.kinatafuna bara lote la africa kutumbukia kwenye umaskini mkubwa.
Viongozi na watawala Africa wana kazi moja tu.kujirimbikizia mali na kupena madaraka.kwa vizazi.. Wale tunaowaita wawekezaji.washalijua hilo ndo maana wanatuburuza kama kenge..penye ubinafsi Hakuna maendeleo hata kama ni kwenye familia