Chapa Mandashi: Nini siri ya hii kitu

Gods very own

Senior Member
Joined
Jul 1, 2017
Posts
124
Reaction score
66
haijawai kuchange in package,size or anything else wala kuwa advertised
na inatumiwa bado na ipogo sokoni kwa mda mrefu
 
Siwameandika apo baking powder....no unga wa kuokea maandaz ndomaana wamechora na picha za maandaz kabxa
 
[emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54][emoji54]
 
Haijapata mpinzani, acha izidi kukimbiza
 
hiyo n jamii ya baking powder mkuu inatumika sana kwenye kupikia either maandazi, half cake, doughnuts sometimes keki, mikate ya ajemi even hata kama una maharage au mbaazi au kunde zako n ngumu kuiva unaweka hiyo kama mbadala wa magadi na yanaiva bila shida.
 
Mkuu naomb picha ya avatar yako.g
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…