LOGORIDDIM
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,638
- 1,237
Salaam.Familia kabisa huyu, Tunaomba kura zitoshe.
Heshima yangu kwenu nyote.
- Kuna wadau wengi sn nimefanya nao kazi humu since 2013. Tafadhalini sn naomba support zenu.
- Malegend wa humu ambao kila siku nasoma post zenu pamoja na
- Generation Z nao wote naombeni support zenu.
Natanguliza shukran zangu kwenu nyote ikiwa ni pamoja na kuwaombea Mola Muumba awajaalie baraka tele maishani.