AKILI TATU
JF-Expert Member
- Feb 10, 2016
- 2,659
- 2,827
- Thread starter
- #221
SawaHayo ni maelezo tu kwani nina uhakika haujatembea kenya yote kufahamu kwa uhakika ulichoandika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaHayo ni maelezo tu kwani nina uhakika haujatembea kenya yote kufahamu kwa uhakika ulichoandika
umeona sasa vyenye unajitoa ufahamu...kichwa kinaongelea wakenya...wewe unaongelea jamii/flani...heheee!!yani hicho ndio kiwe ni chakula cha wakenya wote...au unafikiria tanzania hatupajui vizuri...unataja vyakula vya wakikuyu na kusema ni vya wakenya wote...kuja tarbush au binagili mombas a nikupeleke ukapige msosi hadi upagawe wewe...ukitaja kenya si eti ni wakikuyu au jami flani...kuna lamu pia,kuna kwale pande za wadigo,kuna malindi...chaguo county yyte hapo alafu uipambanishe na muungano wenu wa tanzania kwa mapishi...uone km mtatokaNi kama githeri but sasa utaweka waru ndani ukiwa umezibondabonda then you mix em githeri plus the mashed potatoes and then unaeka managu ama spinach ndo chakuka yote iwe green in general alafu unaeza kula na cabbage na nyama ama supu ya nyama

hahaha wah usifanye tukam kuishi huko akiDah poleni sana sisi huku tz avocado wengine tunatupia mbwa maana zimejaa
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa wewe umetokea wapi,mi nilikuwa najibu swali ya mtu mwenye ameuliza mukimo ni nini,so i was just answering bro and just by your name Komora i know you from coast either taita ama mijikenda,and pia coast nimetembea bro am part taita piaumeona sasa vyenye unajitoa ufahamu...kichwa kinaongelea wakenya...wewe unaongelea jamii/flani...heheee!!yani hicho ndio kiwe ni chakula cha wakenya wote...au unafikiria tanzania hatupajui vizuri...unataja vyakula vya wakikuyu na kusema ni vya wakenya wote...kuja tarbush au binagili mombas a nikupeleke ukapige msosi hadi upagawe wewe...ukitaja kenya si eti ni wakikuyu au jami flani...kuna lamu pia,kuna kwale pande za wadigo,kuna malindi...chaguo county yyte hapo alafu uipambanishe na muungano wenu wa tanzania kwa mapishi...uone km mtatoka
oooh sawa ndo nilikuwa nashangaa nimeingilia wapi hahalathimo...sorry...nilikuwa na quote msee flani hapo juu...ila nadhani habari wameipata vyema
Hahahahahah huwa tunaziuza teveta wakamba na wataita wanazifaidi sana Fanya uje tavetahahaha wah usifanye tukam kuishi huko aki
Am part taita but sijui kitaita haha,kumbe unatoka taita taveta?Hahahahahah huwa tunaziuza teveta wakamba na wataita wanazifaidi sana Fanya uje taveta
Sent using Jamii Forums mobile app