Chapati yapanda bei Himo Kilimanjaro, moja inauzwa shilingi 500

Suzy Elias

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2021
Posts
1,067
Reaction score
6,200
Hii ni hatari!

Kitafunwa pendwa kwa Watanzania nikimaanisha chapati kimepanda bei ghafla isivyoelezeka!

Mfano hapa njiapanda ya Himo muda huu chapati tena kwa mama ntilie wa kawaida inauzwa 500!

Kwenu studio.
 
Hiyo ndo bei niliyoizoea kwa miaka mingi chapati 500.
 
Hii ni hatari!

Kitafunwa pendwa kwa Watanzania nikimaanisha chapati kimepanda bei ghafla isivyoelezeka!

Mfano hapa njiapanda ya Himo muda huu chapati tena kwa mama ntilie wa kawaida inauzwa 500!

Kwenu studio.
suzy ungewahisha hii mada kabla sijatoka hapo njiapanda ningekuja kukununulia chapati

nimeelekea uchira baadae nitarudi tupate cha mchana pamoja
 
.

Screenshot_20220401-093038_WhatsApp.jpg
 
Hii ni hatari!

Kitafunwa pendwa kwa Watanzania nikimaanisha chapati kimepanda bei ghafla isivyoelezeka!

Mfano hapa njiapanda ya Himo muda huu chapati tena kwa mama ntilie wa kawaida inauzwa 500!

Kwenu studio.
Hii hatari, Mchagga anajuwa kupika chapati kweli mpaka inapanda bei? Ebu tuwekee hiyo chapati tuone ukubwa wake na kama kweli imeiva. Toka lini Mchagga akajuwa kupika, kuchoma nyama tu kumewashinda?
 
Hii ni hatari!

Kitafunwa pendwa kwa Watanzania nikimaanisha chapati kimepanda bei ghafla isivyoelezeka!

Mfano hapa njiapanda ya Himo muda huu chapati tena kwa mama ntilie wa kawaida inauzwa 500!

Kwenu studio.
chapati 500 mbona ni siku nyingi tu
 
Himooo kwa mama mnigaa chapati na kisusiooo weweeeee acha bei ipaeeeee!!!
 
Uko itakuwa wamechelewa tu sababu sehemu zingine hiyo ndo bei muda sasa.
 
Himo kuna chapati kuanzia lini?Au
Na mimi nilitaka kushangaa sababu asubuhi kule huwa wanazimua kwa kunywa mbege asubuhi .Hizo chapati wanazinywea na mbege au?

Chapati mbege bei gani?
 
Back
Top Bottom