Chapati yapanda bei Himo Kilimanjaro, moja inauzwa shilingi 500

Chapati yapanda bei Himo Kilimanjaro, moja inauzwa shilingi 500

Msilete taharuki hii bei maeneo mengi ya nchi ndio imekuwa imezoeleka kwa sasa toka zianze kupanda kutoka 300, 400-500 ninaona kawaida tu.

Ukiona bei ipo juu piga ugali asubuhi ili ufaulishe pasi ndefu ili upunguze makasiriko.

Maisha ni kujiadjust tu hakuna namna kwamba bei itakuwaga hiyo hiyo tu hata kama Vita isingekuwepo bado kuna factor nyingine zingechangia.

Tusijisahaulishe kwamba wakati Magu anaingia chapati ilikuwa 100, 150-200
 
Back
Top Bottom