hashilulaya
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 373
- 246
sawa muweka hazina nadhani wajumbe wamepata taarifanashkuru kwa swali lako mkuu ambalo lina maslahi mapana kwa wanachama woote na taifa kwa ujumla, naomba nipewe muda wa wiki mbili niendelee kukusanya ripoti kutoka kwa watendaji wangu wa kanda zote, nami nitaiwasilisha kwa boss wangu mheshimiwa mwenyekiti mafuvu kisha nakala nitaiweka katika group letu la whatsapp ili tusiwape faida wasiohusika, naomba wadu muendelee kua na subira kwa kipindi hiki mpaka watendaji wangu watakapoifikisha ripoti hiyo mezani kwangu... chaputa oyeeeee asanteni sana.
Daaah iv ujasiri mnautoa wapi?Karibu mkuu mi ndo makamu wa raisi ila Rais bado hajachaguliwa.[emoji134]