CHAPUTA(Chama cha Punyeto Tanzania)

CHAPUTA(Chama cha Punyeto Tanzania)

Jaman mie nataka ujumbe tu katika kamati yetu niko tayari maana punyeto huondoa stress na inakupa umakini katika kufanya maamuzi halafu ni salama mimi imeniwezesha kununua gari nimeifanya uber hivo wanachama wenzangu niungeni mkono kwa kupanda uber yangu kidumu chaputa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nashkuru kwa swali lako mkuu ambalo lina maslahi mapana kwa wanachama woote na taifa kwa ujumla, naomba nipewe muda wa wiki mbili niendelee kukusanya ripoti kutoka kwa watendaji wangu wa kanda zote, nami nitaiwasilisha kwa boss wangu mheshimiwa mwenyekiti mafuvu kisha nakala nitaiweka katika group letu la whatsapp ili tusiwape faida wasiohusika, naomba wadu muendelee kua na subira kwa kipindi hiki mpaka watendaji wangu watakapoifikisha ripoti hiyo mezani kwangu... chaputa oyeeeee asanteni sana.
sawa muweka hazina nadhani wajumbe wamepata taarifa
 
taarifa kwa wanachama ,kuna member anaotwa yas mic ametangaza kujitoa chaputa bila kufuata utaratibu,kwanza amejitangaza humu jamii forum bila ya kuwasiliana na afisa hbr wa chaputa,pili ametoa kauli ya kudhihaki chama chetu,ambayo inapingana na kanuni namba 4,kifungu A,ambayo inamtaka mwanachama kutokutoa siri ya chaputa,ndugu zangu jambo la mwisho amevunja kanuni namba 20ambayo inamtaka mwanachama kutojihusisha na mapenzi zaidi ya punyeto.kwa makosa hayo kamati kuu itakaa kikao na kutoa maamuzi tarehe 1.9.2017
 
Chama kikongwe kabisa kuwahi kutokea Tanzania sema hakina promo.faida ya puli mojawapo ni inaseve muda,cost ,haitaji maandalizi na nyingine nyingi sema usipofanya kistaarabu inapunguza nguvu za kiume(hivyo fanya kistaarabu)Ila arosto ya puli ni zaidi ya madawa ya kulevya nakumbuka nilivyokuwa boarding o-level miaka ya 2006+ .ila ukishafika muda fulani kutoka u-teenager unaacha kutokana na mfumo wa maisha kubadilika .
 
Back
Top Bottom