Chaputa national election

Chaputa national election

Mwenyekiti ujae inabidi uje na sera za kubadilisha hii traditional nyeto, uje na mbinu mbadala zinazoendana na wakati tuko 2019 kasoro robo, ni muda muafaka sasa kupiga nyeto za kisasa.

Nawasilisha .

Nakala kwa;
Mwenyekiti, katibu, waziri wa maboresho CHAPUTA
 
Kichwa kichafu, kura yangu umepata, hila naomba uandae sera nzuri zitakazotulinda sisi wanachama wa CHAPUTA.
Hicho Ndio Kipo Mstari Wa Mbele Kabisa.

Pia Nitakuwa Nitaweka Utaratibu Mzuri Wa Kukusanya Mawazo/changamoto/maswali moja kwa moja kufika kwangu na kwa member wote
 
Wajumbe/Wagombea wanapswa kuangalia vigezo;

1) Muda wa uwanachama, kwa wanao gombea nafasi za juu kwenye chama. Sio mtu ana kadi ya uwanachama ya mwaka jana tu halafu akimbilie kugombea nyadhifa za juu. Wakati kuna watu toka enzi za mkoloni/Uhuru ni ma member wa CHAPUTA.

2) Kuijua katiba ya chama ipasavyo. (Na kuinadi katiba)

3) Fomu za kugombea ziambatane na CV ya mgombea.

4) Wanachama wa upinzani hawato ruhusiwa kuendelea na nyadhifa zao pindi watakapo amua "kuunga mkono juhudi za mwenyekiti wetu".

4) Kuzingatia maadili/miiko ya chama.

5) Atakae gundulika ni mwanachama wa kamati za fitna kwenye kampeni atachukuliwa hatua kali za kisheria.

6) Muda wa kuchukua fomu na muda wa kuanza kampeni.

7) Tume huru ya uchaguzi kuanzishwa.

Nawasilisha hoja,
No.4 imekaa vizuri, huwezi kuendelea na mademu ukiwa mwanachama wa CHAPUTA!
 
Wajumbe/Wagombea wanapswa kuangalia vigezo;

1) Muda wa uwanachama, kwa wanao gombea nafasi za juu kwenye chama. Sio mtu ana kadi ya uwanachama ya mwaka jana tu halafu akimbilie kugombea nyadhifa za juu. Wakati kuna watu toka enzi za mkoloni/Uhuru ni ma member wa CHAPUTA.

2) Kuijua katiba ya chama ipasavyo. (Na kuinadi katiba)

3) Fomu za kugombea ziambatane na CV ya mgombea.

4) Wanachama wa upinzani hawato ruhusiwa kuendelea na nyadhifa zao pindi watakapo amua "kuunga mkono juhudi za mwenyekiti wetu".

4) Kuzingatia maadili/miiko ya chama.

5) Atakae gundulika ni mwanachama wa kamati za fitna kwenye kampeni atachukuliwa hatua kali za kisheria.

6) Muda wa kuchukua fomu na muda wa kuanza kampeni.

7) Tume huru ya uchaguzi kuanzishwa.

Nawasilisha hoja,
Umehahinisha Vyema Sana Mkuu.

Kabla Ya Vyote Hivyo No 7 Inatakiwa Kuanza Mchakato Kabla Ya Mengine.

Tupate Watu Makini Na Wenye Weledi

Naunga Mkono Hoja Mwenyekiti Mpya Ajae
 
Mwenyekiti ujae inabidi uje na sera za kubadilisha hii traditional nyeto, uje na mbinu mbadala zinazoendana na wakati tuko 2019 kasoro robo, ni muda muafaka sasa kupiga nyeto za kisasa.

Nawasilisha .

Nakala kwa;
Mwenyekiti, katibu, waziri wa maboresho CHAPUTA
Ni Swala La Mfumo Wa Kupata Taarifa Tu Kwa Wanachama Wote.

Hadi Sasa Tumekwisha Piga Hatua Kubwa kwenye Hizi Mbinu.

Mbinu Zipo Nyingi Sana Tena Za Kisasa zinazokwenda Na Wakati.

Ni Kura Yako Tu Ndugu Mwanachama Italeta Mabadiliko Chanya.

By

Mgombea Wa Nafasi Ya Uenyekiti Wa CHAPUTA.

Kichwa Kichafu
 
Na miaka 16 sasa toka niwe mwanachama kamili naombeni kura zenu
Insta-image-3.jpeg
 
Kazi yangu nadukua huu uchaguzi wenu niwachagulie rais ambaye sio mpiga punyeto ili akomeshe hii tabia!

Ushawishi wenu unazidi kuwa mkubwa hivyo lazima tuwadhibiti mapema!
 
Nimesikitishwa Sana Kupata Taarifa Kama Hizi Kwenye Chama Chetu Pendwa CHAPUTA za Kuwa na mpasuko utakao turudisha nyuma.

Kwanza Kabisa Napenda Kujitambulisha Mwenyekiti Wenu Kvuli Wa CHAPUTA. Japo Kuna Changamoto Nyingi Zinazotaka kuturudisha Nyuma kama hizi za mipasuko.

Hivyo Basi Nachukua Nafasi Hii Kutangaza Nia Na Kugombea Uenyekiti Wa Chama Kubwa CHAPUTA.

Kama Nilivyopambana Kupigania Na Kutetea Vitu Vingi Kwa Maslahi Ya Chama Yetu CHAPUTA.

Na Imani Wanachama Na Member Wote Mtanipa Ridhaa Yenu Na Kuwa Mwenyekiti Bora Kwa Maendeleo Ya CHAPUTA na wanachama Wote.

CHAPUTA CHAMA KUBWA

CHAPUTA HAKUNA VIZINGA

UTAMU NI ULE ULE SWALA NI UTELEZI.

MWENYEKITI AJAE

cc Kichwa Kichafu

Mwenyekiti Kivuli Wa CHAPUTA kwa Sasa
Naona kuwa kura nitakupa mkuu. Ila sisi kama wanachama tunaomba utupe walau mstakabadhi juu ya CHAPUTA. Sababu chama hiki kinapingwa vikali na watu wengi

Nawasilisha
 
Wanachama wa upinzani turuhusiwe kujiunga chaputa bila kurudisha kadi(mademu tulionao tuendelee nao)
Nina nia ya dhati kujiunga CHAPUTA
lakini naomba mniruhusu demu wangu niendelee kuwa nae(nisimuache)
maana bila hivyo ntakuwa boya kuacha papuchies tamu sana
 
Wewe hufai kukaa katika chama hichi mkuu umevunja sheria ya kwanza. Hutakiwi kuwa na demu/ mshikaji
 
Nadhani hatuna budi kumpa kura Mheshimiwa Dokta Kichwa Kichafu kutokana na sera makini.

Ila tunahitaji mtu makini mwenye sifa za zaida kama hizi:

1. Browsing history yenye kuonyesha uhudhuriaji mzuri wa vikao vya mara kwa mara kule www.xvideo.com na www.pornhub.com.
Note: kumbi zingine zinaruhusiwa pia.

2. Awe akishiriki huduma ya kila siku CHAPUTA, akiwa katika mahusiano ili kudhihirisha commitment yake.

3. Abaki mkakamavu hata akizidisha huduma.

4. Awe tayari kutetea haki za chama pale mkuu wa mkoa wa Da'slam akigeuzia majeshi kwetu.

5. Awe amewahi kufanya huduma hizo katika sehemu hatari ambazo ingekuwa rahisi kukamatwa.

6. Mwisho ahakikishe kutetea punguzo za bei za 'lubricants' mbali mbali ili kulinda uchumi wa wanachama.

Nawatakia kila la heri.

-Imetolewa na Ofisi iliyomaliza muda wake ya CHAPUTA,
Idara ya Uenezi na Maendeleo.
 
Umesomeka vyema mkuu
 
Ndugu wajumbe, hadi sasa kuna mmgombea mmoja Kichwa Kichafu ambaye ameonyesha nia ya wazi kabisa ya kuchukua jukumu adhimu kabisa la kuongoza chama hiki. Tunampongeza kwa hilo.

Dirisha la kutangaza nia bado liko wazi kwa siku mbili (kesho na kesho kutwa) kama zitapita bila yeyote kujitokezs kwa wazi kugombea nafasi hiyo, mjumbe huyu atapita bila kupingwa.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom