Leyt Castle
Member
- Oct 30, 2018
- 46
- 71
Mmepita kwenye insta story ya card B wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipoje funguka basi...Mmepita kwenye insta story ya card B wakuu
Kaangalie mkuu utanishukuru baadaeIpoje funguka basi...
Page yake official ni ipi, naona nyinginyingi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imebidi nikapitie na mie nione!!
troublemaker ukipata muda kaone mzaramo alivyo na balaa
Page yake official ni ipi, naona nyinginyingi...
balaa zito
hata mm nmehisi ivyo maana anafeel kabisaYule manzi itakuwa msagaji co kwa pigo zile kwel bongo hatuna dhambi wallah
Yule manzi itakuwa msagaji co kwa pigo zile kwel bongo hatuna dhambi wallah
Alfu kuna watu wakikukuta zako uko na K Vant yako anaanza kukuhubiria hutaiona pepo ya muumba, hawa je??[emoji1550][emoji1550]
wenye njaa washazifagiaMi nasubiri show iishe nipande pipa nikaombe kazi ya kufagia huo ukumbi.
Unaweza kuniona mjinga napoteza nauli yangu bure. Nina maana yangu
Hata yeye alikua anafanyiwa hivyo kipindi yupo kazini msimshangaeYule manzi itakuwa msagaji co kwa pigo zile kwel bongo hatuna dhambi wallah
😀😀😀Hana akili yule. Halafu niliskia kuwa yupo nigeria