Character gani ulimkubali zaidi kwenye series

Character gani ulimkubali zaidi kwenye series

Hahahaha namfananisha na Pole Pole na Bashiru kwa siasa za bongo
Thubutu yao, wachumia tumbo wale wawe na ubavu wa kufanana na T-bag!!

Kama ni siasa za CCM si bora tuseme JK manake ndo mwenye siasa za ku-double-cross wenzake!! JK ndie ambae unaweza kufanya nae michezo hatari lakini ukajikuta unazama peke yako!!

Unajua T-bag ni genius kishenzi, sema u-genius wenyewe ulidondokea kwa mhalifu!!

Unajua hata Michael alikuwa anamchukia zaidi T-Bag kuliko mtu mwingine yeyote yule, mosi, kwavile uhalifu wa T-bag ni wa kishenzi zaidi lakini pili, Michael ni mtu wa double-crossing sana, taaluma ambayo T-bag alikuwa amefuzu!!

Matojkeo yake, mara nyingi Michael akijaribu kum-double-cross T-bag, unakuta mwamba alishanusa mchezo kitambo!!
 
Kwa watazama series kama mimi kwenye series nyingi ulizotazama kuna Character ambae ni bora zaidi na alikufurahisha zaidi

Binafsi Styles Stilinky wa kwenye TeenWolf hana mpinzani

Niambie wako alikua nani!?
El professor -Lacasa de Papel
 
Nikita
Kwenye season ya NIKITA nà crew yake yote
 
Huyu jamaa anafan wengi sana kila alie tazama BB lazima a mmention kama best Character wake asee

Gustavo Frings ni BALAA
Muangalie kwenye Breaking Bad kisha malizia na kwenye muendelezo katika Better Call Soul......... anajua haswa anacho kifanya

Nilimuona pia kwenye series ua The Godfather of Herlm
Ingawa hajafikia viwango vya BB na BCS lakini anafurahisha sana pia
 
Anaitwa nani
Huyu mwamba
images.jpg
 
Back
Top Bottom