Charity group

Charity group

steveslove

Senior Member
Joined
Jul 18, 2012
Posts
110
Reaction score
32
Me na marafiki zangu kadhaa tumejiorganise ili tuwe tunatoa misaada kila mwisho wa mwezi kwa yatima, wajane , wazee na kundi lolote la watu ambao ni neglected na wana uhitaji wa huduma mbalimbali kama food, shelter n clothes.
Tatizo linakuja hatuna contacts na viongozi au mahali wapi tutapata hawa watu so plz nawaomba great thinkers kama mnaweza kunisaidia majina ya vituo ikiwezekana na contacts zao na mahali walipo ili me nawenzangu tutimize malengo yetu.
Nakama wewe ungependa kutujoin pls PM me

Asanteni
 
muongo wewe unatafuta chanel ya kupiga hela . watanzania wa sasa wamejanjaruka . tafuta njia nyingine. au huna ndugu na jamaa waliochoka mtaani kwenu au kijijini kwenu uwasaidie???????????????????
 
what he/She need is a help n not criticism..
 
anza kwanza na msimbazi center.
 
muongo wewe unatafuta chanel ya kupiga hela . watanzania wa sasa wamejanjaruka . tafuta njia nyingine. au huna ndugu na jamaa waliochoka mtaani kwenu au kijijini kwenu uwasaidie???????????????????

asante ndugu
 
Some people Bwana.!
 
Kitu cha Malawi hiki...Bange za kwa Dada Joy noma. Asee kama upo ndani toka nje kidogo upigwe na upepo itapungua...
 
Good work, Mungu awabariki hadi mshtuke
 
@steveslove,mimi nina wazo mbadala katika hiyo group yenu,unajua unapotoa msaada wa chakula,nguo na malazi ili muhusika ajisikie kweli amesaidiwa ni lazima zoezi liwe endelevu,yaani..utoe chakula leo,kesho,kesho kutwa...na kila siku.Mara nyingi katika hilo group nyingi huwa zinashindwa kutoa misaada endelevu katika jinsi hiyo.Wazo mbadala ni kwamba badala ya kujiandaa kutoa chakula katika hayo makundi tajwa kwa nini msifikirie kutoa msaada ambao utawawezesha hao mliowakusudia kujiwezesha on next day????
Wahitaji ni wengi sana katika jamii zetu na ni ngumu kidogo kuwawezesha wote kwa mara moja lakini kama utawezesha kundi moja dogo ambalo in future liweza kuwezesha kundi jingine ni bora zaidi.
Kama mko tayari kubadilisha mtazamo kuhusu hilo wazo lenu nipo tayari tubadilishane mawazo.
 
muongo wewe unatafuta chanel ya kupiga hela . watanzania wa sasa wamejanjaruka . tafuta njia nyingine. au huna ndugu na jamaa waliochoka mtaani kwenu au kijijini kwenu uwasaidie???????????????????
Just to let u know am vry successful with this since july 2012 until now we are moving on
 
Napenda kuwashukuru walioelewa nia yangu ya hii post na tunaendelea vyema na group since lasy yr July until now, we are going to have our anniversary party on July this yr
 
@steveslove,mimi nina wazo mbadala katika hiyo group yenu,unajua unapotoa msaada wa chakula,nguo na malazi ili muhusika ajisikie kweli amesaidiwa ni lazima zoezi liwe endelevu,yaani..utoe chakula leo,kesho,kesho kutwa...na kila siku.Mara nyingi katika hilo group nyingi huwa zinashindwa kutoa misaada endelevu katika jinsi hiyo.Wazo mbadala ni kwamba badala ya kujiandaa kutoa chakula katika hayo makundi tajwa kwa nini msifikirie kutoa msaada ambao utawawezesha hao mliowakusudia kujiwezesha on next day????
Wahitaji ni wengi sana katika jamii zetu na ni ngumu kidogo kuwawezesha wote kwa mara moja lakini kama utawezesha kundi moja dogo ambalo in future liweza kuwezesha kundi jingine ni bora zaidi.
Kama mko tayari kubadilisha mtazamo kuhusu hilo wazo lenu nipo tayari tubadilishane mawazo.

asante sana wazo hili sikuwa nimeliona pls ningependa kujua more coz until now we are successfull we are keeping on moving July tunatimiza 1 yr, the coming yr ningependa changes na hyo uliyosema sounds very good, ntakutafuta
 
Napenda kumuunga mkono aliyekushauri kuwawezesha ili juhudi zako ziwe endelevu
maskini unampa nyavu ili avue samaki ale na kuuza kupata mahitaji mengine usimpe samaki tu ale, kesho inakuwaje
kama ni watoto wadogo wanapewa elimu kuanzia mwanzo wakiangaliwa vipawa vyao (talents) wapi wawezeshwe.
Kama ni vijana au watu wazima wanafundishwa njia mbalimbali za kujitegemea kisha donor anatafutwa kuwapa mtaji nk
Namna hii juhudi zako zitakuwa endelevu na utaweza kuwasaidia wengi maana baada ya muda mfupi wanakuwa wanajitegemea. Nakutakia mafanikio mema.
 
hata humu tupo tunaohitaji hiyo misaada, mimi wa kwanza, nikujoin?
 
Back
Top Bottom