steveslove
Senior Member
- Jul 18, 2012
- 110
- 32
Me na marafiki zangu kadhaa tumejiorganise ili tuwe tunatoa misaada kila mwisho wa mwezi kwa yatima, wajane , wazee na kundi lolote la watu ambao ni neglected na wana uhitaji wa huduma mbalimbali kama food, shelter n clothes.
Tatizo linakuja hatuna contacts na viongozi au mahali wapi tutapata hawa watu so plz nawaomba great thinkers kama mnaweza kunisaidia majina ya vituo ikiwezekana na contacts zao na mahali walipo ili me nawenzangu tutimize malengo yetu.
Nakama wewe ungependa kutujoin pls PM me
Asanteni