steveslove
Senior Member
- Jul 18, 2012
- 110
- 32
muongo wewe unatafuta chanel ya kupiga hela . watanzania wa sasa wamejanjaruka . tafuta njia nyingine. au huna ndugu na jamaa waliochoka mtaani kwenu au kijijini kwenu uwasaidie???????????????????
Me na marafiki zangu kadhaa tumejiorganise ili tuwe tunatoa misaada kila mwisho wa mwezi kwa yatima, wajane , wazee na kundi lolote la watu ambao ni neglected na wana uhitaji wa huduma mbalimbali kama food, shelter n clothes.
Tatizo linakuja hatuna contacts na viongozi au mahali wapi tutapata hawa watu so plz nawaomba great thinkers kama mnaweza kunisaidia majina ya vituo ikiwezekana na contacts zao na mahali walipo ili me nawenzangu tutimize malengo yetu.
Nakama wewe ungependa kutujoin pls PM me
Asanteni
muongo wewe unatafuta chanel ya kupiga hela . watanzania wa sasa wamejanjaruka . tafuta njia nyingine. au huna ndugu na jamaa waliochoka mtaani kwenu au kijijini kwenu uwasaidie???????????????????
Some people Bwana.!muongo wewe unatafuta chanel ya kupiga hela . watanzania wa sasa wamejanjaruka . tafuta njia nyingine. au huna ndugu na jamaa waliochoka mtaani kwenu au kijijini kwenu uwasaidie???????????????????
muongo wewe unatafuta chanel ya kupiga hela . watanzania wa sasa wamejanjaruka . tafuta njia nyingine. au huna ndugu na jamaa waliochoka mtaani kwenu au kijijini kwenu uwasaidie???????????????????
Just to let u know am vry successful with this since july 2012 until now we are moving onmuongo wewe unatafuta chanel ya kupiga hela . watanzania wa sasa wamejanjaruka . tafuta njia nyingine. au huna ndugu na jamaa waliochoka mtaani kwenu au kijijini kwenu uwasaidie???????????????????
@steveslove,mimi nina wazo mbadala katika hiyo group yenu,unajua unapotoa msaada wa chakula,nguo na malazi ili muhusika ajisikie kweli amesaidiwa ni lazima zoezi liwe endelevu,yaani..utoe chakula leo,kesho,kesho kutwa...na kila siku.Mara nyingi katika hilo group nyingi huwa zinashindwa kutoa misaada endelevu katika jinsi hiyo.Wazo mbadala ni kwamba badala ya kujiandaa kutoa chakula katika hayo makundi tajwa kwa nini msifikirie kutoa msaada ambao utawawezesha hao mliowakusudia kujiwezesha on next day????
Wahitaji ni wengi sana katika jamii zetu na ni ngumu kidogo kuwawezesha wote kwa mara moja lakini kama utawezesha kundi moja dogo ambalo in future liweza kuwezesha kundi jingine ni bora zaidi.
Kama mko tayari kubadilisha mtazamo kuhusu hilo wazo lenu nipo tayari tubadilishane mawazo.
njoo ila nao tafuta mie wala hawajui JF NNNhata humu tupo tunaohitaji hiyo misaada, mimi wa kwanza, nikujoin?