Charles boniface mkwasa ndio anaiuwa yanga

Charles boniface mkwasa ndio anaiuwa yanga

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
taarifa ambayo nimepata za ndani zinasema kocha huyo anahusda kwa baadhi wa wachezaji hasa mchezaji akiwa na kimwana mzuri anatia wifu na kumtaka akikataa anamchukia muhusika.
nawatahadharisha yanga mmemuweka nyoka msiemjua
 
Halafu alinishangaza nilipo muuliza kwanini tunafungwa na simba eti akasema sababu ni wale wachezaji waliotoka simba ndio waniuwa timu nilicheka tu
 
taarifa ambayo nimepata za ndani zinasema kocha huyo anahusda kwa baadhi wa wachezaji hasa mchezaji akiwa na kimwana mzuri anatia wifu na kumtaka akikataa anamchukia muhusika.
nawatahadharisha yanga mmemuweka nyoka msiemjua

Acha uongo..msianze kutafuta mchawi ..wachezaji hawako makini..kocha ana jua kupanga timu lakini wachezaji wana muangusha.

Kutokana na kauli yako basi Yanga itapoteza mechi ya leo dhidi ya platinum..
 
Back
Top Bottom