ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Wakuu Kuna Mabadiliko Ya Nafasi kule Ikulu Zanzibar.
Charles Hilary ameteuliwa na Rais Mwinyi Kuwa DG mpya Wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zanzibar..
Kulikoni Wa Kwetu Huyu Van Mohammed Tena Kuliwa Kichwa?View attachment 2063000ary
Sent using Jamii Forums mobile app
Amefaa kuliko Dr. Ayubu Rioba?Mtangazaji Charles Hillary mtu mwenye uzoefu ndani ya nchi na kimataifa katika mashirika makubwa IPP MEDIA, BBC, DW, AZAM MEDIA chini ya wahariri wasimamizi nguli huku akiwa amezungukwa na waandishi habari wazoefu kwa kipindi chote nadhani anafaa ...
WASIFU :
Salama Na CHARLES HILLARY Ep 38 | MZEE WA BUSARA Part 2
Source: YahStoneTown
https://millardayo.com › tag › charle...
Charles Hillary – Millard Ayo TV
Kumbe Charles Hillary kaondoka BBC na kuamua kurudi nyumbani? Miongoni mwa watu ambao sauti zao zimesikika sana kupitia BBC London, ni
Amefaa kuliko Dr. Ayubu Rioba?Hongera Sana tena sana kwa Charles Hilaray.
Hakika anastahiki kuwa Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu ZNZ.
ni Mwanahabari Nguli, mweledi asiye na majivuno wala roho mbaya.
Watanzania wote tunamtakia kila la heri ktk majukumu yake mapya.
Ivona Kamunthu atam-misi zaidi yako.Nitamiss sana kwny Habari UTV!
Sina kawaida ya kulamba miguu, lete tako lako nikulambe! Kiongozi wa kenge!!
Mpogoro mama mzenji. Baba yake alienda visiwani akifanya kazi ya upolisi.Charles Hillary N'kwanga hajawahi kuwa mpogiro ni msumbwa wa geita!
Milioni Kumi kwenda juu,chanzo jamaa yangu Yuko pale mtangazaji.charles alikua mkurugenzi wa radio.habari kwenye TV alikua anasoma tu.Alkua analipwa shilingi ngapi? Sababu waswahili wanasema mbongo mpe picha tu stori nzima anatunga
Machalanga si juzi tu hapa. Charles Hilary alianzia RTD ya kina Deborah MwendaSijamaanisha kua mara ya kwanza kumsikia ni wakati anatangaza mpira tu,
Hicho kipindi nimekisikia,na alikua anakipindi kingine akipenda kupiga nyimbo alizokua anaziita "Macharanga" au "Charanga" nyimbo fulani kama za Kimexico hivi,
Mimi ni Muhenga mkuu.
Kama alikuwa mtoto wa Polisi unategemea nini mkuu? Ikulu hateuliwi mtu ambaye siyo wa system. Najiongeza kwamba hata DW huenda alikuwa anafanyakazi ya nusanusa, hii dunia kubwa hii.Kwani jamaa ni Tiss?
Mkuu, kwani Azam wana kituo cha redio pia?Milioni Kumi kwenda juu,chanzo jamaa yangu Yuko pale mtangazaji.charles alikua mkurugenzi wa radio.habari kwenye TV alikua anasoma tu.
Natamani 2025 tumpe Mh. Dr Hussein Mwinyi Bara kwa miaka 10.Hongera sana. Rais Hussein Mwinyi ndiyo alihitajika kuongoza Tanzania kwa karne hii.
Inasemekana baba yake alikuwa rafiki na Rais Karume( Mkubwa). Maji hufuata mkondo, kama baba Yako anaurafiki na walima nyanya basi nawe utakuja kuwa mkulima wa myanya badae. Tuwaombe wazee wawe wanajiatach kwa marafiki wa maama
Mkuu Zogwale,Natamani 2025 tumpe Mh. Dr Hussein Mwinyi Bara kwa miaka 10.
Ndio UFM 107.3Kama alikuwa mtoto wa Polisi unategemea nini mkuu? Ikulu hateuliwi mtu ambaye siyo wa system. Najiongeza kwamba hata DW huenda alikuwa anafanyakazi ya nusanusa, hii dunia kubwa hii.
Mkuu, kwani Azam wana kituo cha redio pia?
Tena miaka ya 80..Machalanga si juzi tu hapa. Charles Hilary alianzia RTD ya kina Deborah Mwenda
Wanamsema vibaya kwenye sred ya Defaoifike mahala kama wana JF tuishinikize serikali either ya muungano au ya mapinduzi impe uteuzi Paskali Mayalla... kila siku teuzi zinampita, SIJAPENDA.
Marin Hassan Marini toka ARIDHIO.Kwanza nampongeza mkongwe wa habar Huyu, jemedari mwenye nyota zake za kihabar nchini Tanzania ndugu Charles Hillary naliona pigo kubwa kwa Azam Tv.
Yote kwa yote, hii nafasi ilikuwa ni ya yule marehem aliyekuwa kichwa,jabari la habar aliykufa baada kubuni kipindi kizur sana kupitia TBC 1. Mungu amweke mahali pena peponi.
Kongole kwa Rais wa Zanzibar kwa kutambua nafasi ya jabar Ili Mimi nilishangaa sana wanateuliwa sijui aniu sjui anwani wanaachwa hawa watu Asante Mwinyi kwa kuwaona.