Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Rais Hussein Mwinyi kumteua Charles Hillary kuwa Mkuu wa mawasiliano Ikulu ni kuwadharau wazanzibari.Wazanzibari wapo kibao ambao wangeweza kushika nafasi hiyo.Labda kilichokusukuma mpaka ukamteua ni kufanya kazi kwake BBC...
Kama ndo hivyo na samia arudi zanzibar tushachoka na ubaguzi wenu
 
Rais Hussein Mwinyi kumteua Charles Hillary kuwa Mkuu wa mawasiliano Ikulu ni kuwadharau wazanzibari.Wazanzibari wapo kibao ambao wangeweza kushika nafasi hiyo.Labda kilichokusukuma mpaka ukamteua ni kufanya kazi kwake BBC...

Kabla ya kuleta uzi hapa inabidi kwanza ujue hapa sio Facebook

Na uwe umefanya hata simple research,

Charles Hillary ni mzanzibar huyo kikeke unaemsema ni mtu wa mbeya forest ya zaman
 
Rais Hussein Mwinyi kumteua Charles Hillary kuwa Mkuu wa mawasiliano Ikulu ni kuwadharau wazanzibari.Wazanzibari wapo kibao ambao wangeweza kushika nafasi hiyo.

Labda kilichokusukuma mpaka ukamteua ni kufanya kazi kwake BBC.Muulize Rais mstaafu Jakaya kwa nini alimuondoa Tido Mhando TBC? Dr President Hussein uteuzi wa Hillary hauendani na utamaduni wa Zanzibar.

Wapo akina Ally Saleh,Salim Kikeke,na wengine wengi ambao ni wazanzibari original.Hatutaki mamluki toka sehemu zingine.Zanzibar Nation belong to Zanzibaris.

KIjana mbona tunatiana aibu? Charles Hillary ni Mzanzibari.
 
Back
Top Bottom