Charles Hilary ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu - Zanzibar

Rais Hussein Mwinyi kumteua Charles Hillary kuwa Mkuu wa mawasiliano Ikulu ni kuwadharau wazanzibari.Wazanzibari wapo kibao ambao wangeweza kushika nafasi hiyo.Labda kilichokusukuma mpaka ukamteua ni kufanya kazi kwake BBC...
Kama ndo hivyo na samia arudi zanzibar tushachoka na ubaguzi wenu
 
Rais Hussein Mwinyi kumteua Charles Hillary kuwa Mkuu wa mawasiliano Ikulu ni kuwadharau wazanzibari.Wazanzibari wapo kibao ambao wangeweza kushika nafasi hiyo.Labda kilichokusukuma mpaka ukamteua ni kufanya kazi kwake BBC...

Kabla ya kuleta uzi hapa inabidi kwanza ujue hapa sio Facebook

Na uwe umefanya hata simple research,

Charles Hillary ni mzanzibar huyo kikeke unaemsema ni mtu wa mbeya forest ya zaman
 
KIjana mbona tunatiana aibu? Charles Hillary ni Mzanzibari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…