LadyRed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 9,636
- 11,483
Mtu akishaonja kiyoyozi kuhustle mtaani ni mtihani kidogo kwake...imebaki siasa tuMbona yeye hajajiajiri baada ya kustaafu badala yake ameenda kuomba ajira kwa wanavunjo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu akishaonja kiyoyozi kuhustle mtaani ni mtihani kidogo kwake...imebaki siasa tuMbona yeye hajajiajiri baada ya kustaafu badala yake ameenda kuomba ajira kwa wanavunjo?
Private Sector inabidi uwe na nia na msuli kweli kweliStable systems duniani zinazalisha ajira ili kuwa na waajiriwa.
Outcome yake ni kuwa na mzunguko wa fedha kwenye sekta za kibenki, pension funds, insurance funds, real estate development na vingina kama legal, suppliers chain management na logistics.
Ili tukifikie hapo, lazima tuwe system thinking approach and system execution approach.
Sio hii ya kila mmoja kujiajiri na kupambana na hali yake.
Maana hata daktari Janabi na utaalam wake pale JKCI, ukimtoa awe peke yake, he is destined to fail. Ila kuwa kwenye organised system, success is inevitable.
We should be honest, Elimu ya vyuo vikuu na ma-prof waliopo hawana DNA na entrepreneurship ili kuzalisha waajiri.
Tunakwama kama taifa pale ambapo hata waziri ambae portfolio ya ajira iko chini yake hajui nini afanye.
To every problem in a given community Tanzania being inclusive, kuna watu wenye IQ na DNA ya kuja na sustainable solutions.
Ngoma ipo kwenye kuwang'amua. Ni mama madini; huwa yamefichwa chini kwenye ardhi au yako exposed juu y ardhi.
Kuweza kung'amua namna ya kubadili kilicho chini ya ardhi na kukigeuza kuwa hela nayo ni akili. Si kila mmoja anayo ila wapo ambao wanayo.
It's just needed a recognition ili hao watu wapewe nafasi ya kuonesha nini kifanyike ili wao wafaidike, serikali and the general public.
Napata tabu kwa namna ambayo out of box thinking haipo; kwa kuwa sheria na policy zilizo in place zimetungwa early 90 na kwa sasa hazifanyi kazi tena.
Innovation in most cases inavunja barriers kwa kuja na vitu vipya.
Kujiajiri kunazalisha tija kiasi kidogo sana unlike mfumo wa kuajiri/kuajiriwa.
Hapa Taifa lije na call ya search for brains which each individual or companies can create sa 100-500 fulltime employments kwa kutumia fursa za ndani na nje.
Kuna sehemu tutafika.