Uchaguzi 2020 Charles Kimei unatuaibisha wana Vunjo

Daah jamaa naanza kumpunguzia credit huyu mzee
Mkuu unaamini kwenye maneno ya kwenye mitandao...na wewe...hao waliotoa hayo maneno wanataka tu kumchafua ndugu Kimei...Mbona viongozi wengi tu wanapewa ukuu wa kimila ....hata juzi tu List alivalishwa shuka jeusi kule shinyanga...na wazee wa Mila...na Hilo unatasema Ni uchawi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…