NAFIKIRE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 660
- 456
Mkuu unaamini kwenye maneno ya kwenye mitandao...na wewe...hao waliotoa hayo maneno wanataka tu kumchafua ndugu Kimei...Mbona viongozi wengi tu wanapewa ukuu wa kimila ....hata juzi tu List alivalishwa shuka jeusi kule shinyanga...na wazee wa Mila...na Hilo unatasema Ni uchawiDaah jamaa naanza kumpunguzia credit huyu mzee