Uchaguzi 2020 Charles Kimei unatuaibisha wana Vunjo

Uchaguzi 2020 Charles Kimei unatuaibisha wana Vunjo

Kusoma hadi kufika chuo haimaanishi kuwa mtu ameelimika. Kusoma na kubukuwa hakumaanisha kuwa mtu ni mwerevu.
 
Jiwe ndio balaa lkn watu wa kusini ndio kiboko yake😀😀
 
IMG_0165.JPG
 
ukisha kua kiongozi unatakiwa utambue jinsi ya kuishi na watu unaotaka kuwaongoza ili wajisikie wewe pia ni miongoni mwao
kimei hapo anadumisha mila mtu anasema ushirikina yaani mtu mpaka apitishiwe bakuli la sadaka ndo anaona amefanya maombi stahili
 
Mgombea ubunge wa CCM Vunjo, Dr. Charles Kimei anatuaibisha na picha zinazo zunguka kwamba kafanya TAMBIKO ili awe mbunge. Msomi mzima anafanya mambo ya ajabu.

View attachment 1557923View attachment 1557925
Acheni watu na utamaduni zao. Sisi waafrika tuna tamaduni zetu ambazo Ni tofauti na wazungu. Lakini wanazieshimu.

Tukianza kudharau tamaduni za wengine, mipaka itakuwa wapi? Je walio na dini tofauti?!

Na Prince Charles naye ana abudu uchawi?!
1599226291874.jpeg

1599226209285.jpeg

1599226137412.jpeg

1599226425703.jpeg
 
Back
Top Bottom