GE2025 Charles Kitwanga naye achukua fomu Jimbo la Misungwi

GE2025 Charles Kitwanga naye achukua fomu Jimbo la Misungwi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa zamani wa Misungwi, Charles Kitwanga, amechukua fomu ya kuwania tena ubunge wa Jimbo la Misungwi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Kitwanga amejiunga na idadi ya makada wa chama hicho wanaotaka kurejea au kuingia kwa mara ya kwanza bungeni katika uchaguzi mkuu 2025

 
Back
Top Bottom