Mkalukungone Mwamba JF-Expert Member Joined Aug 29, 2022 Posts 3,141 Reaction score 7,205 Jun 28, 2025 #1 Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa zamani wa Misungwi, Charles Kitwanga, amechukua fomu ya kuwania tena ubunge wa Jimbo la Misungwi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Kitwanga amejiunga na idadi ya makada wa chama hicho wanaotaka kurejea au kuingia kwa mara ya kwanza bungeni katika uchaguzi mkuu 2025 Your browser is not able to display this video.
Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa zamani wa Misungwi, Charles Kitwanga, amechukua fomu ya kuwania tena ubunge wa Jimbo la Misungwi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Kitwanga amejiunga na idadi ya makada wa chama hicho wanaotaka kurejea au kuingia kwa mara ya kwanza bungeni katika uchaguzi mkuu 2025 Your browser is not able to display this video.
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,656 Reaction score 3,785 Aug 28, 2025 #2 ...