Charles Mkwassa ndiye Kocha mpya wa Timu ya Taifa ya Soka

Charles Mkwassa ndiye Kocha mpya wa Timu ya Taifa ya Soka

Swali: Tumekuwa tukiweka nguvu nguvu nyingi bila mafanikio. kwa nini tusijitoe kwenye mashindano ya kimataifa kwa muda?

Jamal Malinzi: sheria na kanuni za FIFA ziko wazi, ukisiposhiriki kwenye mashindano mara mbili mfululizo utakutana na panga la FIFA.
 
Mimi huwa sielewi kitu kimoja, Hivi selection ya wachezaji wa timu ya taifa huwa inafanyikaje? au wanachagua majina na si kipaji? au ni usimba na uyanga? mbona nchi hii kuna jamaa wanapiga mpira balaa wapo pembezoni mwa mjini, I suggest iundwe scouting team ipite sehemu mbalimbali za nchi hii kusaka vipaji vijana wasukwe ki-Professional Ethics, vinginevyo na huyu atatimuliwa tu

10% yako Tu.
 
Swali kutoka kwa mwandishi: Mkwasa atakuwa kocha kwa muda mgani wakati kocha wa kudumu akisakwa?

Jamal Malinzi: Kwanza niliongea na muajiri wake ambaye ni Bw. Manji kupata ruksa yake kisha tukaongea na mwalimu. Mpango tulionao na Mwalimu ni hadi Septemba 30 ingawa lolote linaweza kutokea ndani ya kipindi hicho

Kumbe mwajiri wake ni Manji na sio Yanga!!!!
 
Msiwageuze makocha wazawa kichaka unajisaidia ukikosa choo. Wapewe mikataba na kulipwa sawa kama mnavyowalipa wazungu
 
Kocha msaidizi wa klabu anapoteuliwa kuwa kocha wa timu ya Taifa......

For me he is worth t but namuona mjinga kama akienda,y leo? Je watalipa the same as nooj,24m?if not basi he will be toilet paper
 
Kwahiyo pale fire Mkwasa anahama sasa ili wakimfukuza baadaye arudi tena pale pale fire?
Mkuu, Mkwasa anaishi Tegeta Kibaoni.
Mkwasa Hakai Fire Japo Alikuwa Anakaa Hapo Zamani Jirani Kabisa Na Kwao Said Tully Wa Simba Na Kwa Sasa Mkwasa Anaishi Tegeta Nyuki Kwa Mkewe Mheshimiwa Mkuu Wa Wilaya Betty Mkwasa Na Kuna Salon Moja Ya Kiume Hapo Hapo Jirani Na Njia Ya Kuelekea Chuo Kipya Cha Uandishi Wa Habari Cha PSJ Muda Mwingi Hukaa Hapo Kupiga Stori Na MASELA Na Wazee Vijana Wenzie.

Duh... kumbe ni kwa mkewe??
 
For me he is worth t but namuona mjinga kama akienda,y leo? Je watalipa the same as nooj,24m?if not basi he will be toilet paper

Au kwa kuwa Yanga wamekuwa mabingwa??

Kiukweli kama Manji anampa mkwanja mzuri ningemshauri ajibakie zake Yanga... kwenda kunyoa kichwa cha wendawazimu, hatafika December atakuwa kasharushiwa virago. Asitegemee atapata kile walichokuwa wanapata wazungu....

Ni ushauri tu.
 
Swali kutoka kwa mwandishi: Mkwasa atakuwa kocha kwa muda mgani wakati kocha wa kudumu akisakwa?

Jamal Malinzi: Kwanza niliongea na muajiri wake ambaye ni Bw. Manji kupata ruksa yake kisha tukaongea na mwalimu. Mpango tulionao na Mwalimu ni hadi Septemba 30 ingawa lolote linaweza kutokea ndani ya kipindi hicho

Kumbe mwajiri wake ni Manji na sio Yanga!!!!
 
Iivi kwanini timu ya taifa isingekua inajitegemea ...yaani wachezaji wasiwe wanatoka kweli klabu yoyote ....wawe wao 24/7 ni timu ya taifa tu!! Na wawe wanalipwa mshahara
 
i doubt, kama atafanya maajabu,
1) kama mwalimu mkuu, ili kupata ufanisi mkubwa, ni yeye alitakiwa amchague ni nani awe mwalimu msaidizi.
2) Je watampa uhuru, kuvunja timu? na kuchagua upya wachezaji, anao ona wanakwenda na mfumo ambao anataka kuutumia?

Kwa rushwa iulivyoota migyuu, sitashangaa kama wachezaji hawachaguliwi kwa mashinikizo. Huyu jamaa si yupo team fulani, wajuzi wa kutupia ruopia kutafuta umaarufu?

Vinginevyo Charles, naye ameona akale pesa tu, anyway let wait and see.
 
Tatizo la tanzania sio kocha wala wachezaji..
Hatuna mfumo imara wa kukuza soka la tanzania...
Na makosa makubwa ni pale tunapoaminishwa wachezaji bora wanatoka simba na yanga...
Ndo timu zilezile zinazoshindwa kupeperusha bendera ya tz kwenye mashindano ya vilabu afrika...
Kama wachezaji wa yanga na simba wanashindwa kung'ara kupitia vilabu vyao iweje waje kung'ara kupitia timu ya taifa?...
Copa Coca Cola ina karibia miaka 10 toka ianzishwe, mwaka huu tulitakiwa tuanze kuvuna matunda ya vijana wetu...
Wapi mfumo wa kukuza soka letu kupitia vijana walewale tuliowalea toka mwanzo?...
Huyo mkwasa hataleta kipya, itakuwa 'business as usual'...
 
Binafis nackitika sana.wakati.wenzetu.wanapiga hatua kwenda cc tunahesabu hatua zakurudi nyuma,,,,, Nway hii ndio tz nahayo ndio maamuzi yao Malinzi.ameamteaMkwasa ckwamba atafanya maajabuila nikama jazba flan sasa mtu km KIBADENI.daaah..
 
Au kwa kuwa Yanga wamekuwa mabingwa??

Kiukweli kama Manji anampa mkwanja mzuri ningemshauri ajibakie zake Yanga... kwenda kunyoa kichwa cha wendawazimu, hatafika December atakuwa kasharushiwa virago. Asitegemee atapata kile walichokuwa wanapata wazungu....

Ni ushauri tu.

haya mpwa ndugu yetu kawa sikio la kiziwi
vuta popukoni tucheki hili muvi linaitwa taifa stars nao nao
 
Back
Top Bottom