Wadau wa jukwaa hili,kumekuwepo na pitapita kwa kijana mmoja anayeitwa Charles Moremi katika vijiji mbalimbali vya wilaya ya Serengeti na kutoa misaada mbalimbali kama kuchangia madawati huku akisema anaunga jitihada za Mhe. Rais za kuhakikisha wanafunzi hawakai chini.
Na inasemekana ni katika kujipambanua na kuweka mambo sawa kwa matayarisho ya uchaguzi wa 2020 katika jimbo la Serengeti.
Hivi kwa nini huyu mtu asizuiwe hadi ifike 2020 kama Rais alivyosema kampeni zimeisha mpaka 2020? au kwa vile ni kada wa maccm? Jimbo la Serengeti si lina mbunge? Au wadau mnalionaje