Charles Njonjo: Kenya's prosperity lies in breaking away from the EAC

Charles Njonjo: Kenya's prosperity lies in breaking away from the EAC

..hata mimi namuunga mkono Mzee Njonjo.

..Kenya wanataka kuhamishia masikini wao wasiokuwa na LAND huku Tanzania na kusababisha machafuko huku kwetu.

..Rwanda wanatesa wa-Hutu na wanataka kuwahamishia Tanzania.

..EAC iwe kwa ajili ya wenye pesa na mitaji kama kina Madhvani, Mengi, Bakhresa, Chandarias, Mungas, na wengine.

cc Koborer, lawmaina78, Kimweri, EngineerLMG, msemakweli, jMali

tuko pamoja EAC iwe ni kwa ajili ya kupiga pesa tu hayo mengine hapana.
 
...DAMNED national interests.....it is too early to speak about prosperity as politicans are still being paid to promote chaos in kenya...how can we talk of prosperity...
...which sector where?!!!
 
TANZANIA GOVERMENT ilipata shinikizo kutoka kwa WANANCHI wake wajitoe EAC, mbona viongozi wa KENYA walikuwa wanapishana kila siku DAR kuomba isiwe hivyo.......wanasiasa wanatulazimisha ila sisi WATZ hatuitaji EAC
 
Is this the same Charles Njonjo who said he does not believe a blackman can fly a plane, and he feels uncomfortable when one does?

A blackman who belittled blacks on to be be treated lower than blacks by wazungu wa uingereza?
 
njonjo shida sana, alikuwa hataki kuoa mwanamke wa kiafrika hadi alipopata mzungu na kuoa akiwa na miaka 50!
 
Back
Top Bottom