Charles William: Hadi sasa ndani ya CCM hakuna vigogo wanaomuunga mkono Nchimbi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mtangazaji na mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa Wasafi Media, Charles William, ameeleza kuwa hali ya shinikizo inayomkabili Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emmanuel Nchimbi, haina ukubwa wa kuleta mtikisiko mkubwa ndani ya chama hicho tawala.

Charles William amebainisha kuwa msingi wa hoja yake unajikita katika ukimya wa vigogo na makada wakubwa wa CCM, ambao hadi sasa hawajajitokeza hadharani kuonyesha kuunga mkono au kumtetea kiongozi huyo.

Kwa mujibu wa Charles William, ukimya huo si wa bahati mbaya bali ni mbinu ya kisiasa inayotumiwa na wana-CCM kutafakari kabla ya kuchukua hatua. Ameeleza kuwa hali hii inafanana na matukio ya nyuma yaliyowahi kuwakuta viongozi wengine wa ngazi za juu wa chama hicho kama wakati wa Bernad Membe na Job Ndugai
​

Soma Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Attachments

  • IMG-20260824-WA0073.jpg
    IMG-20260824-WA0073.jpg
    38.2 KB · Views: 15
Cheo Cha makamu wa rais ni pambo tu..Hana mamlaka yoyote
 
Hazimtoshi bila shaka.

Nani anataka kupotea? Mtu mzima kupotea unafikiri ni mchezo!
 
Wanaogopa kuuwawa, wala haishangazi kwanini huwaoni wazi wakijitokeza kwani wangapi walikua wanamuunga Polepole mkono huko CCM si walikuwa wanafuatiliwa kimya kimya maana yake wangejitokeza hadharani wangeuwawa.

Hata haishangazi maana CCM sio chama tena ni genge la majambazi.
 
Mtangazaji na mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa Wasafi Media, Charles William, ameeleza kuwa hali ya shinikizo inayomkabili Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emmanuel Nchimbi, haina ukubwa wa kuleta mtikisiko mkubwa ndani ya chama hicho tawala.

Charles William amebainisha kuwa msingi wa hoja yake unajikita katika ukimya wa vigogo na makada wakubwa wa CCM, ambao hadi sasa hawajajitokeza hadharani kuonyesha kuunga mkono au kumtetea kiongozi huyo.

Kwa mujibu wa Charles William, ukimya huo si wa bahati mbaya bali ni mbinu ya kisiasa inayotumiwa na wana-CCM kutafakari kabla ya kuchukua hatua. Ameeleza kuwa hali hii inafanana na matukio ya nyuma yaliyowahi kuwakuta viongozi wengine wa ngazi za juu wa chama hicho kama wakati wa Bernad Membe na Job Ndugai
​

Soma Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Shida ni moja tu wana ccm wote ni wezi na wanafiki.hawako kwa ajili ya kutetea wananchi bali wapo kwa maslahi yao na familia zao basi.wanachoogopa ni kuvuliwa madaraka na kukosa fursa za kupiga hela.
 
Mtangazaji na mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa Wasafi Media, Charles William, ameeleza kuwa hali ya shinikizo inayomkabili Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emmanuel Nchimbi, haina ukubwa wa kuleta mtikisiko mkubwa ndani ya chama hicho tawala.

Charles William amebainisha kuwa msingi wa hoja yake unajikita katika ukimya wa vigogo na makada wakubwa wa CCM, ambao hadi sasa hawajajitokeza hadharani kuonyesha kuunga mkono au kumtetea kiongozi huyo.

Kwa mujibu wa Charles William, ukimya huo si wa bahati mbaya bali ni mbinu ya kisiasa inayotumiwa na wana-CCM kutafakari kabla ya kuchukua hatua. Ameeleza kuwa hali hii inafanana na matukio ya nyuma yaliyowahi kuwakuta viongozi wengine wa ngazi za juu wa chama hicho kama wakati wa Bernad Membe na Job Ndugai
​

Soma Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

​
Nchimbi Katibu Mkuu?

Anyway, CCM wanaweza kuwa mafisadi, wauaji, wezi wa maliasili za taifa, wabinafsi nk, lakini sio wajinga kiasi hicho
 
Mtangazaji na mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa Wasafi Media, Charles William, ameeleza kuwa hali ya shinikizo inayomkabili Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emmanuel Nchimbi, haina ukubwa wa kuleta mtikisiko mkubwa ndani ya chama hicho tawala.

Charles William amebainisha kuwa msingi wa hoja yake unajikita katika ukimya wa vigogo na makada wakubwa wa CCM, ambao hadi sasa hawajajitokeza hadharani kuonyesha kuunga mkono au kumtetea kiongozi huyo.

Kwa mujibu wa Charles William, ukimya huo si wa bahati mbaya bali ni mbinu ya kisiasa inayotumiwa na wana-CCM kutafakari kabla ya kuchukua hatua. Ameeleza kuwa hali hii inafanana na matukio ya nyuma yaliyowahi kuwakuta viongozi wengine wa ngazi za juu wa chama hicho kama wakati wa Bernad Membe na Job Ndugai
​

Soma Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Na tumjue Kwanza huyu Careless Willess ni Nani?
 
Back
Top Bottom