Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,508
Nyie watu washamba .... Yule star wa two and half men
https://www.yahoo.com/tv/s/report-charlie-sheen-announce-hes-181650138.html
Huyo jamaa ndio zake anajifanya anajua saana kumbe hana lolote na kiingereza chake cha kuuzia vinyago Mwenge
Waridi yupi huyo? Lete story mkuu.
Maintain your immune system by food, body exercises and whatever...HIV does not cause AIDS...You may live with your HIV and you will not get AIDS forever..secure your immune and T-cells.
USA HIV ni weapon of destruction .Sheria ni Ukiwa umegundua una HIV na ukaendelea Kufanya Siri na ukaambikiza watu .Unafungwa
Huyo jamaa ndio zake anajifanya anajua saana kumbe hana lolote na kiingereza chake cha kuuzia vinyago Mwenge
wewe jamaa unadhani wote tunamjua huyo mtu????? weka maelezo ya kutosha ya huyo mtu, anakaa wapi??? anafanya kazi gani???? nafasi yake katika jamiii
Wewe umesoma wapi kwamba Charlie Sheen ana ngoma? Weka link hapa, usichanganye mambo
What's the big deal? Being HIV+ is not a death sentence. Kumbe stigma bado ipo sana tu mimi nilidhani watu wameelimika siku hizi
wanakunyanyapaa nini? pole
wanakunyanyapaa nini? pole
Usikurupuke Winning ni neno linalotumiwa na Charlie mwenyewe.... Sio kila kitu unajifanya unajua mkuu