Charlie sheen is HIV positive

Charlie sheen is HIV positive

Atulie, atumie dawa taratibu. Hayo ni mambo ya kawaida sana ila watu tunayachukulia tofauti.
 
Maintain your immune system by food, body exercises and whatever...HIV does not cause AIDS...You may live with your HIV and you will not get AIDS forever..secure your immune and T-cells.

USA HIV ni weapon of destruction .Sheria ni Ukiwa umegundua una HIV na ukaendelea Kufanya Siri na ukaambikiza watu .Unafungwa
 
USA HIV ni weapon of destruction .Sheria ni Ukiwa umegundua una HIV na ukaendelea Kufanya Siri na ukaambikiza watu .Unafungwa

Wewe umesoma wapi kwamba Charlie Sheen ana ngoma? Weka link hapa, usichanganye mambo
 
Celebrities wa bongo hakuna mwenye ngoma ndio maana wanarukaruka tu kwa kubadili wanaume/wanawake.
 
Ukimwi hauwambukizwi.

Ukimwi ni sawa na Unene au wembamba.
 
Ukimwi yeyote unampata muhimu zingatia kuepuka viambukizi vyake,vitu vyenye ncha kali,ngono na vitu kama hivyo..
 
What about his goddesses bree olson et al, porn industry inaweza kushake a little
 
Back
Top Bottom