Charminggirl is now known as Charminglady

CharmingLady

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2012
Posts
18,296
Reaction score
12,972
Hali zenu wakuu wanajamvi... kutokana na mambo mengi katika kichwa kimoja cha Charminglady formerly Charminggirl, nimelazimika kubadili ID kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu! Naomba kuzitaja ila sitapenda kubezwa. Nilisahau password nikajaribu kutumia password helper bila mafanikio. so siku nzima ya jana nilikuwa najaribu kila option nikashindwa. Ndio sababu nimeamua kurejister kwa ID nyingine. Naomba mnipokee kwa mara nyingne. Miss u saaaaaaaana!!!!!!!

Cheers Ol..............
 
Kwanini usingewasiliana na mods wakusaidie na waunganishe ID.
 
jamani umekua unatumia password yako kila siku kuingia humu ndani eti leo umeisahau mh au wewe ni mtu mwingine unajidai ni charming girl
 
Ukiona mpenzi wako amebadili namba ya simu bila taarifa jua huna chako.
 
jamani umekua unatumia password yako kila siku kuingia humu ndani eti leo umeisahau mh au wewe ni mtu mwingine unajidai ni charming girl

Mimi mwenye nashangaaaa ni kwanini imegoma. ni mimi Charminggirl na hakuna mtu atakayetumia tena mu past username ya Charminggirl
 
Last edited by a moderator:
Ukiona mpenzi wako amebadili namba ya simu bila taarifa jua huna chako.

Laadhidhi, mahabuba, penzi wangu wa ukweli ningekujulishaje while ulininyima hata namba ya cm wala email.. jamani am so sorry mukwano. uwiiiiiiiiiiiii usiniache mwenzio... mama yangu measkron upo wapi umwambie mkweo kilichonisibu?????
 
sobhuza umemsikia mwanangu jamani? Chonde chonde, mwanangu charminglady Natumaini amekusikia na kukuelewa
 
Last edited by a moderator:

na miye yalinikuta hayohayo mwenzio hangaika karibu wk nzima nikaja upya
 
Ukiona mpenzi wako amebadili namba ya simu bila taarifa jua huna chako.

We Sobhuza nimeshakustukia! Deeko hilo !
Hapa unatafuta kubembelezwa huku bembelezo linafatiwa na vimasaji then kitu kamili !
Shem Charminglady bembeleza huyu eti kanuna !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…