Charminggirl is now known as Charminglady

Charminggirl is now known as Charminglady

We Sobhuza nimeshakustukia! Deeko hilo !
Hapa unatafuta kubembelezwa huku bembelezo linafatiwa na vimasaji then kitu kamili !
Shem Charminglady bembeleza huyu eti kanuna !

ashanielewa huyo,dawa yake ndogo naijua sana...
 
Zamani ulikuwa unaitwa nani?
Isije ikawa we ndo husninyo?
Mambo vipi lakini?

Kudda'daddeckk!
Duhh!
Hujafa hujaumbika
Aisey fanya umtake razi huyu Mheshimiwa!
Yaani unasema huyu ndo alikua nani vile ?
Hebu rudia!
 
Hali zenu wakuu wanajamvi... kutokana na mambo mengi katika kichwa kimoja cha Charminglady formerly Charminggirl, nimelazimika kubadili ID kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu! Naomba kuzitaja ila sitapenda kubezwa. Nilisahau password nikajaribu kutumia password helper bila mafanikio. so siku nzima ya jana nilikuwa najaribu kila option nikashindwa. Ndio sababu nimeamua kurejister kwa ID nyingine. Naomba mnipokee kwa mara nyingne. Miss u saaaaaaaana!!!!!!!

Cheers Ol..............

Maskin cg wangu aiyayaaaa poule haya cl now daaah usikonde hata kama wakikusema u got me here
 
ashanielewa huyo,dawa yake ndogo naijua sana...

Nimeiona Shem! Ni kama vile umefungua kufuli la Bank kwa kutumia pini.
Unafikiri sie wanaume basi tuna ujanja sustainable kwenye hayo makitu ?
Hatuna .
 
Nimeiona Shem! Ni kama vile umefungua kufuli la Bank kwa kutumia pini.
Unafikiri sie wanaume basi tuna ujanja sustainable kwenye hayo makitu ?
Hatuna .

ahaaaaa umeona eeh, namjulia sana huyo sobhuza!
 
Last edited by a moderator:
Pole Na karibu. Ila nashangaa kila Siku unaingia JF Jana ukasahau password.....yaonekana ulikumbwa Na makubwa.
 
Pole Na karibu. Ila nashangaa kila Siku unaingia JF Jana ukasahau password.....yaonekana ulikumbwa Na makubwa.

Sio hivo swahiba, yan huwezi amini mi hwu natumia password ya aina moja katika social forum zote lakini nashangaa cjui ni nini kilitokea!
 
ahaaaaa umeona eeh, namjulia sana huyo sobhuza!

Kidume mwenza uko wapi Sob ?
Hawa watu ndiyo our ribs!
7 x 70 per 24 hrs una allow apology! Be calmy kula Bata mazee!
Tena kura kwa kwa kwenda mberee!
 
Last edited by a moderator:
Kidume mwenza uko wapi Sob ?
Hawa watu ndiyo our ribs!
7 x 70 per 24 hrs una allow apology! Be calmy kula Bata mazee!
Tena kura kwa kwa kwenda mberee!

Teh teh shem umenichekesha!
 
Haya kipenzi. Ila charming lady limekupendeza zaidi..
 
Back
Top Bottom