St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,991
- 5,234
mkuu majesho yako uwanja wa mapambano,we tayari unatangaza ushindi,dah sipatii picha wale wanga wanao niwangia watajibeba
njoo mpenzi charminglady nikutuo shombo la kutendwa ni kumwagia lotion ya mapenzi,njoo kwenye kisima cha malavidavi kwangu ndio kwako toka enzi,usipagawishwe na vikalagosi wa mapenzi,fungua pipi ule ni yako yote usibakize najua umechoka na feka mapenzi,mwaaaaa
Hizi ni habari nilizozishuhudia jana usiku wa manane wakati watu wote wamelala charminglady alikuwaa bado anasoma kwa makini mistari ya wakati ndio sasa na ilinichukua muda kuamini kama zile hasira zote alizokuwa nazo kwa kijana wetu zimeanza kuyayuka.Kwa mlio karibu naye hasa beibe nasty naomba mje mtuthibitishie....na natanguliza hongera kwa kijana kwa moyo wa uvumulivu alioonyesha mpaka kufikia hatua hii muhimu....
mkuu majesho yako uwanja wa mapambano,we tayari unatangaza ushindi,dah sipatii picha wale wanga wanao niwangia watajibeba
njoo mpenzi charminglady nikutuo shombo la kutendwa ni kumwagia lotion ya mapenzi,njoo kwenye kisima cha malavidavi kwangu ndio kwako toka enzi,usipagawishwe na vikalagosi wa mapenzi,fungua pipi ule ni yako yote usibakize najua umechoka na feka mapenzi,mwaaaaa
Unaomba msaada wa chakula somalia unataka nin?
Hata wewe hajakuambia..!! Nilijuwa taarifa utakuwa nazo,hili ndio tatizo sasa mkishaanza kupenda huwa mna aibu sana,mwambie charminglady ajitokeze basi asione aibu kihivyo, kumkubali mtu ni jambo la kawaida katika maisha wala sio kosa la jinai....
Akaa ni sawa kupiga mkuki ngozi duh unamoyo wa chuma maana unajipa majibu mwenyewe heheheeheh we kiboko chapa simba hehheeh cl hebu njoo usikie huku yanenwayo kweli masantura
Wewe huyo black cat tena mtakatifu heeeee unashughuli unajua haya ngoja cl aje
Ukiniona nimenyamaza ujue nimekubali.....wera wera.... mimi nishaanza sherehe huku karibuni tusherehekee ushindi wa wakati ndio sasa
Jaman nalitaman uuuwiii daku
Futari yangu uliikataa haya karibu daku basi na nilivyo mtaalamu wa mapishi........
Tunalala sahiz sie g9t na wewe ulale
hv nyie watu St. Paka Mweusi na wakati ndio sasa mna wazimu ama mapepo. mnawezaje kuusemea moyo wa mtu? kha hebu mnipishe mie cjakubali wala nini. . . mshindwe na mlegezwe kunako n.y.e.t.i zenu!!!!!!
Dr unamanisha ziwe kama mkono wa sweta ha ha ha ha umeniacha hoi...hv nyie watu St. Paka Mweusi na wakati ndio sasa mna wazimu ama mapepo. mnawezaje kuusemea moyo wa mtu? kha hebu mnipishe mie cjakubali wala nini. . . mshindwe na mlegezwe kunako n.y.e.t.i zenu!!!!!!