Chasambi afukuzwe

Chasambi afukuzwe

Haendi kokote, mwamba yupo sana. Hamtaki tokeni nyinyi mashabiki uchwara.
Ila Chasambi salamu zikufikie huko uliko, tunakupenda sana 🄰
Halafu wewe ni demu wa chasambi nini, nimekufuatilia sana nakuzoom tu...
 
Kwa levo ya Simba ya sasa hivi
Wachezaji kama Chasambi, Kijiri, Muhamedi kazi, Mutale, Mukwala, Akjepa, hawafiti kabisa.
Ohua pia ni wa kumtazama kwa jicho la tatu.
Na beki Che Malone.
Beki Chamau ni mturi kupia huyo Malone.
Balua ni bora zaidi na yule mtoto tuliye mtoa kwa mkopo Kabaraka.

Ni kwamba hao hawajitumi kama Kibu, Kapombe, Shabalala, Ateba, Mpanzu, Kamala na Kagoma.

Mwambieni Kocha mipira ya kurudisha rudisha nyuma haitakiwi kwa Karne ya sasa.
 
Hujui mpira kolo wahedi, rudia video utaona Camara alinyanyua mkono kuomba mpira dogo akamtumia, kosa ni la kipa sio chasambi, dogo alikiwasha sana leo na anafaa kuitwa Taifa stars
 
Hujui mpira kolo wahedi, rudia video utaona Camara alinyanyua mkono kuomba mpira dogo akamtumia, kosa ni la kipa sio chasambi, dogo alikiwasha sana leo na anafaa kuitwa Taifa stars
Hana mapenzi na Simba, haijalishi ni bora kiasi gani
 
Hujui mpira kolo wahedi, rudia video utaona Camara alinyanyua mkono kuomba mpira dogo akamtumia, kosa ni la kipa sio chasambi, dogo alikiwasha sana leo na anafaa kuitwa Taifa stars
Kwa hiyo kipa akinyoosha unampa tu mpira?? Zongatia alikuwa mita ngapi toka mstari wa kati, na wachezaji wangapi walikuwa open
 
Badala ya kumfukuza huyo mchezaji, mngefunga magoli 6 kama wenzenu walivyofanya jana ili kufidia

Unawaza ki chura kiziwi sana wewe dada kinembe
 
Huyu jamaa kaniingizia pesa nyingi sana nilikua nmeweka GG ya odd2.3 na hii mechi kwaharakaharaka isingetokea GG asingekua yeye
 
Huyu kijana mnamuonea sana, vipi kuhusu Che Malon au sababu ni wa kigeni.
 
Back
Top Bottom