vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Mpira aliopiga leo kurudisha kwa kipa, aliupiga akiamini goli kipa upo eneo sahihi. Kwa bahati mbaya Camara kama kawaida yake alikuwa kaisha liacha goli hivyo ule mpira ulimshinda kuukoa. Mashabiki wa Simba wameona kosa la Chasambi tu kwavile ndiye ameguka chukizo kwa wana Simba kutokana na kauli yake kuhusu wachezaji wenzie wa Simba ila kiuhalisia hata Camara anastahili lawama maana angekuwa eneo lake sahihi, ule mpira angeukoa