Chasambi amenunua chuki kwa mashabiki wa Simba tokea aseme role model wake ni Nzengeli

Chasambi amenunua chuki kwa mashabiki wa Simba tokea aseme role model wake ni Nzengeli

SIMBA WAACHE KUPIGA BACK PASS ZINAWAUMIZA NA HAWAJIFUNZI.
 
  • Thanks
Reactions: K11
Hao watakao mchukia ni mazombi tu, kwenye mpira makosa hutokea sana. Kujifunga, ni kitu kiko kwenye mpira.
Chasambi ni mkweli, anamkubali mchezaji wa timu pinzani, si dhambi.

Ni uswahili wetu tu, unatusumbua. Kumkubali mtu hata kwenye muziki ipo, kumkubali mwingine tena ni bendi hasimu. Tulieni msimpe stress kijana wa watu in Mama Boko voice.
 
UUjing
Kwani ule mpira yeye alivyopasiwa na Kipa alipasiwa akiwa yupo kwenye direction gani?

Alipasiwa akiwa amelipa kisogo lango la Camara or he was facing the goal?

Anastahili lawama na pengine lawama zingekuwa ndogo ila kauli yake nadhani hata yeye kama hakukusudia basi ndio kitu anachokijutia zaidi kwa sasa.
Matahira tu... Mbona anapowafungia mnashangilia na haya mameno hamnayaseme!!. Chemalone amechomesha makosa ya aina hii zaidi ya 3.... Wapuuzi.
 
I can understand why some people ( fools)might not be fully on board with this yet, but I believe it's important to recognise the remarkable talents of our own player and the unique contributions he makes to the game.

We all make mistakes, especially in football, so let's remember that. This player has significant potential and should be encouraged, not criticised.

The coach can support his growth, and it's essential that he doesn't take the comments personally.

Of course, it's natural to be inspired by a player from another team, and that's perfectly understandable.

However, it's important to remember that a player's love and loyalty for their own team should never be overlooked.
 
Mpira aliopiga leo kurudisha kwa kipa, aliupiga akiamini goli kipa upo eneo sahihi. Kwa bahati mbaya Camara kama kawaida yake alikuwa kaisha liacha goli hivyo ule mpira ulimshinda kuukoa. Mashabiki wa Simba wameona kosa la Chasambi tu kwavile ndiye ameguka chukizo kwa wana Simba kutokana na kauli yake kuhusu wachezaji wenzie wa Simba ila kiuhalisia hata Camara anastahili lawama maana angekuwa eneo lake sahihi, ule mpira angeukoa
Camara hasitahili lawama pale. Golikipa hawezi kaa golini mda wote, hiyo haiwezekani mkuu. Chasambi alikosea tu kutoa pasi (shuti) bila uhakika, bila utulivu, na angepeleka sehem nyingine kama angetulia. Lakini yote kwa yote, makosa ni sehem ya maisha tu.
 
Sa
UUjing

Matahira tu... Mbona anapowafungia mnashangilia na haya mameno hamnayaseme!!. Chemalone amechomesha makosa ya aina hii zaidi ya 3.... Wapuuzi.
sasa wewe umekuwa mkali. Ukali husio na tija mkuu. Kwamba mchezaji akifanya kosa hasikosolewe kwakuwa anafanya mazuri! Kukosolewa ni jambo ka kawaida, because you remind him his responsibility, isipokuwa sio sahihi kumuattack kiungwana
 
Enzi zetu tuliambiwa na kocha kuwa unapopiga backpass hakikisha hulilengi goli ili kipa akiukosa iwe Kona.
Na sio unapiga backpass on goal target.
 
Back
Top Bottom