Chasambi amenunua chuki kwa mashabiki wa Simba tokea aseme role model wake ni Nzengeli

SIMBA WAACHE KUPIGA BACK PASS ZINAWAUMIZA NA HAWAJIFUNZI.
 
Reactions: K11
Hao watakao mchukia ni mazombi tu, kwenye mpira makosa hutokea sana. Kujifunga, ni kitu kiko kwenye mpira.
Chasambi ni mkweli, anamkubali mchezaji wa timu pinzani, si dhambi.

Ni uswahili wetu tu, unatusumbua. Kumkubali mtu hata kwenye muziki ipo, kumkubali mwingine tena ni bendi hasimu. Tulieni msimpe stress kijana wa watu in Mama Boko voice.
 
UUjing
Matahira tu... Mbona anapowafungia mnashangilia na haya mameno hamnayaseme!!. Chemalone amechomesha makosa ya aina hii zaidi ya 3.... Wapuuzi.
 
I can understand why some people ( fools)might not be fully on board with this yet, but I believe it's important to recognise the remarkable talents of our own player and the unique contributions he makes to the game.

We all make mistakes, especially in football, so let's remember that. This player has significant potential and should be encouraged, not criticised.

The coach can support his growth, and it's essential that he doesn't take the comments personally.

Of course, it's natural to be inspired by a player from another team, and that's perfectly understandable.

However, it's important to remember that a player's love and loyalty for their own team should never be overlooked.
 
Camara hasitahili lawama pale. Golikipa hawezi kaa golini mda wote, hiyo haiwezekani mkuu. Chasambi alikosea tu kutoa pasi (shuti) bila uhakika, bila utulivu, na angepeleka sehem nyingine kama angetulia. Lakini yote kwa yote, makosa ni sehem ya maisha tu.
 
Sa
UUjing

Matahira tu... Mbona anapowafungia mnashangilia na haya mameno hamnayaseme!!. Chemalone amechomesha makosa ya aina hii zaidi ya 3.... Wapuuzi.
sasa wewe umekuwa mkali. Ukali husio na tija mkuu. Kwamba mchezaji akifanya kosa hasikosolewe kwakuwa anafanya mazuri! Kukosolewa ni jambo ka kawaida, because you remind him his responsibility, isipokuwa sio sahihi kumuattack kiungwana
 
Enzi zetu tuliambiwa na kocha kuwa unapopiga backpass hakikisha hulilengi goli ili kipa akiukosa iwe Kona.
Na sio unapiga backpass on goal target.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…