Salaam kwa Wote humu! Nahitaji kujifunza Ufugaji Bora wa Kuku na mifugo mengne kwa kuona jinsi wengne walivyotengeneza Mazingira mazr na Jinsi wanavyofanya au kuendesha ufugaji vzr. Msaada naohitaji ni Shamba gani naweza kwenda walau kuona, na taratibu zipi zinatakiwa naomba kuelekezwa na kupewa mawasiliano km itawezekana. Iwe ndani ya nchi yetu au nchi jirani za Kenya na Uganda.
NB: chasha Ombi langu zaidi kwako km hautajali naomba nisaidie nizuru hata Shamba lako nina ndoto za kuwa km wewe. Ahsante.
Wewe uko wapi? Sehemu za kwenda ziko nyingi mkuu kuaznia hapo ulipo na hadi nje ya nchi hasa Kenya, ila anza na jirani na ulipo na baadae unaweza sasa kuangalia na wafugaji walio mbali na ulipo

Unapoandika Thread kwa kuomba Msaada kwa mtu mmoja hata kama kuna wengine ambao wanaweza kukusaidia basi wanakaa kimya tu, na ni bora ungemwandikia PM tu, kuliko kuandika uzi