paramawe
Senior Member
- Apr 13, 2013
- 151
- 24
Salaam kwa Wote humu! Nahitaji kujifunza Ufugaji Bora wa Kuku na mifugo mengne kwa kuona jinsi wengne walivyotengeneza Mazingira mazr na Jinsi wanavyofanya au kuendesha ufugaji vzr. Msaada naohitaji ni Shamba gani naweza kwenda walau kuona, na taratibu zipi zinatakiwa naomba kuelekezwa na kupewa mawasiliano km itawezekana. Iwe ndani ya nchi yetu au nchi jirani za Kenya na Uganda.
NB: chasha Ombi langu zaidi kwako km hautajali naomba nisaidie nizuru hata Shamba lako nina ndoto za kuwa km wewe. Ahsante.
NB: chasha Ombi langu zaidi kwako km hautajali naomba nisaidie nizuru hata Shamba lako nina ndoto za kuwa km wewe. Ahsante.
Last edited by a moderator: