KASIM MNKONDYA
Member
- Nov 23, 2012
- 20
- 5
siku kadhaa baada ya kumalizika mkutano mkuu wa chaso-IFM kumeongezeka wimbi la wanachama wapya kujiunga na CHADEMA kupitia tawi la chaso IFM .wanachama hao wameonekana kuwa na hasira na serikali mbovu ya ccm kwa imeshindwa kutekeleza ilani yao ya maisha bora kwa kila mtanzania. wanachaso hao wamepanga kuibomoa ccm kuanzia chuoni hadi makwao wanakotoka .naomba kuwasilisha.