Chaso - IFM yazidi kuizika CCM

Chaso - IFM yazidi kuizika CCM

Joined
Nov 23, 2012
Posts
20
Reaction score
5
siku kadhaa baada ya kumalizika mkutano mkuu wa chaso-IFM kumeongezeka wimbi la wanachama wapya kujiunga na CHADEMA kupitia tawi la chaso IFM .wanachama hao wameonekana kuwa na hasira na serikali mbovu ya ccm kwa imeshindwa kutekeleza ilani yao ya maisha bora kwa kila mtanzania. wanachaso hao wamepanga kuibomoa ccm kuanzia chuoni hadi makwao wanakotoka .naomba kuwasilisha.
 
Hao wamechelewa yaani wasomi ndio wanajua leo kua selikali ya mpito haina dalili ya kumalizia japo ngwe hii! Sasa kama msomi unashituka leo sisi ambao hatujasoma tushituke lini? Siitakaua 2020!! Kama msomi umezinduka leo zinduka kimya kimya maana utachekwa watanzania wooote wanajua ccm ilisha kufa na ndio maana wanaongoza kishirikina na nguvu za polisi ccm is R.I.P wewe msomi ungekua kaka yangu ningekupiga na tonge la ugali machoni ili kuzindua hilo bongo lala lako kwani kusoma sio kila kitu sasa nimeamini. Haya karibuni lakini msimwambie mtu kama nyie niwapya chamani kwani niaibu njooni kimya kimya
 
mkuu hujasoma,??? Haha maana hapa sijaona dongo hata moja na mwndiko wko ni mzuri sana
 
yap! pigeni kazi wadau wangu wa kitivo cha Bima', hifadhi ya jamii wahasibu na watu wa benki kimbieni mhamie CDM fasta au sio!:majani7::target:
 
Back
Top Bottom