Hao wamechelewa yaani wasomi ndio wanajua leo kua selikali ya mpito haina dalili ya kumalizia japo ngwe hii! Sasa kama msomi unashituka leo sisi ambao hatujasoma tushituke lini? Siitakaua 2020!! Kama msomi umezinduka leo zinduka kimya kimya maana utachekwa watanzania wooote wanajua ccm ilisha kufa na ndio maana wanaongoza kishirikina na nguvu za polisi ccm is R.I.P wewe msomi ungekua kaka yangu ningekupiga na tonge la ugali machoni ili kuzindua hilo bongo lala lako kwani kusoma sio kila kitu sasa nimeamini. Haya karibuni lakini msimwambie mtu kama nyie niwapya chamani kwani niaibu njooni kimya kimya